screpa
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 10,857
- 15,866
Ney hajawahi kufanya hiphop, anaropokaropoka tu juu ya beat. Usimfananishe Chid na mambo ya kipumbavmbana pua nae atasema ney anatafuta kiki,mwenzio ana hit kali za hip hop ingawa mipasho anawakilisha,kinachoangaliwa pale ni kunata na beat na kucheza mulemule wanamosema,kiukweli m bongo nilikua namkubali chid alivyopotea Nay kacukua kijiti.hawa ndio wasanii wa hip hop unaweza kuwasikiliza ukaenjoy beat kali na manjonjo wengine hadthi nyiiingi politiki jukwaani