Baraka da Prince amtukana Ney wa mitego

Ney hajawahi kufanya hiphop, anaropokaropoka tu juu ya beat. Usimfananishe Chid na mambo ya kipumbav
 
Ni msukuma ndio maana , halafu niliona jana kwenye interview anamuita 'mkewangu' wakati hata pete ya uchumba hajamvisha
Sio msukuma jana mdogo wake kahojiwa kasema wanakaa tu mwanza ila wao ni wajaluo
 
Seven Mosha anakazi ya kuwapiga msasa wasanii wake wa rockstar
Alikiba na baraka da prince
Wanapofanya interview waongee nini, hawa vijana interview zao ni za hovyo
Wasanii wote ni mamwinyi sidhani kama Meneja wao anaweza kuwamudu. Mwenzake WCB anapangiwa cha kusema na kuzuiwa ni kipi asiseme. Umeneja sio shule ni kipaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…