Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Kashamaliza ule mjengo wake aliouonyesha EATV kipindi cha UJENZI?Naona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi
Ndio ule ulileta mkanganyiko jamaa anadai wakwake shemeji zake wanadai wa mamamkwe au kunamwingine?Kashamaliza ule mjengo wake aliouonyesha EATV kipindi cha UJENZI?
Ndio huo huo Mkuu πππππππ.Ndio ule ulileta mkanganyiko jamaa anadai wakwake shemeji zake wanadai wa mamamkwe au kunamwingine?
Naona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi
Hana tatizo lolote.. Na ndio maana tuko hapa tunamjadiliNaona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi