Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
Naona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kashamaliza ule mjengo wake aliouonyesha EATV kipindi cha UJENZI?Naona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi
Ndio ule ulileta mkanganyiko jamaa anadai wakwake shemeji zake wanadai wa mamamkwe au kunamwingine?Kashamaliza ule mjengo wake aliouonyesha EATV kipindi cha UJENZI?
Ndio huo huo Mkuu 😀😀😀😀😀😀😀.Ndio ule ulileta mkanganyiko jamaa anadai wakwake shemeji zake wanadai wa mamamkwe au kunamwingine?
Naona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi
Hana tatizo lolote.. Na ndio maana tuko hapa tunamjadiliNaona ni muda mrefu account yake ya instagram hapost chochote picha zote amefuta nahisi kama kuna kitu kinamsumbua huyu kijana yupo wapi