Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Ni vizuri kua na mwanamke anayewaza maendeleo, uvivu lazima uweke pembeni.
 
mwanamkw hata mwaka huna nae unaanza kufanya mambo makubwa kwa 50% kwa 50% ngoja yamkute
 
Na washkaji wa Nigeria kwake sio number one wa kumpeleka madukani Sauzi beach kununua vifaa vya ujenzi zaidi ya kutumia bidhaa halisi za Kitanzania kuonesha ana upendo na cha kwao.
Una miakiliiiiii.Jiwe juu ya jiwe.
Nimekupenda bure [emoji8]
 
Yaani single moja tu, hakuna unga hapa kweli? Kazi zake za kizushi zinasimamiwa na Clouds au? Kama kuna mkono wa clouds hapa basi najuwa ni nini kilicho muwezesha kujenge hiyo nyumba.
Mbona ananyimbo zaidi ya 4, pia anaonekana anajielewa. Hongera kwake kama kwel ni nyumba yake
 
Baada ya kusoma Comments za wachangiaji, Nimegundua wengi hawapendi Maendeleo ya dogo,
Inaumiza sana unapoona unajitahidi kupigana halafu kuna wengine wanaleta dharau, mara unga, mara sijui vitu gani.
akikaa kimya watamsema vilevile,
Kweli Ubinadamu Kazi.....Bell 9
Sasa huyu dogo kuna sehemu alisema watu wamekuwa wakihoji Baraka una nini???
Na yeye kasema jibu lake ilikuwa Tunatofautiana, Lakini akaamua kuonesha alicho nacho ambayo ni nyumba na gari.
sasa hii ya watu kutaka kufanana, haiwezekani mfanane.
Upo kazini miaka 20 huna hata kipanda, kaja mwanao ana miaka 3 kazini Nyumba na Gari, Mashamba na Biashara tayari. So Mkitaka kufanikiwa watakieni wengine Mafanikio kwanza,

Ndiyo maana..Kisha ayubu akabarikiwa mara dufu baada ya kuwaombea marafiki zake...
Ukitaka kufanikiwa usiwe na roho ya kwa nini.
 
Mkuu kwani hujui JF kuna matajiri tupu na watu perfect?!!!
 
Mkuu mimi nilikuwa nawaza kama hivi yaani.
Jamaa ana roho ngumu
Mtakufa mkiwa mmesimama dede yani Karne hi ya 21 bado unaogopa kujenga nyumba na mkeo unataka ujenge nyumba ukiwa na hawara/mchepuko?
 
Bigup kijana kwa kujenga kwake ...hayo ndio maendeleo
 
Hao ni wasanii huwezi kujuwa ni muda gani huwa wapo kwenye maigizo yao na muda gani wapo kwenye maisha halisi.
haya ndio mambo ya malaikana gar lake kumbe anaendesha hata kadi ya gar hana hawa sio wakuwaamin kabsa ni kama wema kununua nyumba ya milion 400 ....wakumuamin ni ay yeye anavitu ving ila yupo private kujua
 
Banda la njiwa hilo...afu Kwa jinsi dogo anavyoji eleza anasafarii ndefu Sana...
Dogo inaonesha wazi kabisa anamezeshwa maneno na najma ....siku akiachwa atayumba Sana...
 
Nasikia Wasukuma kwa watoto weupe wanaweza kukuachia hata zizi zima la ng'ombe; so what about kwa shombeshombe!!! Usije kuta hata ya hati ya nyumba ikawa na jina Najma pembeni! Au washafunga ndoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…