Denis denny
JF-Expert Member
- Oct 7, 2012
- 5,780
- 7,844
Rudia kusoma post yako ya kwanzaWapi nimeandika mkuu...soma vizuri
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudia kusoma post yako ya kwanzaWapi nimeandika mkuu...soma vizuri
Ase, yani kajenga nyumba na girlfriend? Mke tu watu wanaogopaRudia kusoma post yako ya kwanza
Sawa mama.Basi tambua kuwa misuli haivaliwi mana nirahisi kupigwa msasa hasa ukitembea mbele kwa mbele kama umepigwa ngumi ya mgongo ilihali uhondo umeuacha nyuma
Huyo hajielewi, achana naye.Basi uwe unasoma vizuri komenti za watu....maaana mimi sikusema kuogopa kujenga na mke.
Sawa baamediSawa mama.
"Mkuu mimi nilikuwa nawaza kama hivi yaani Jamaa ana roho ngumu" hivi hujagundua ulipokosea au nati zimelegeaAse, yani kajenga nyumba na girlfriend? Mke tu watu wanaogopa
My comment was:
Mkuu mimi nilikuwa nawaza kama hivi yaani
Jamaa ana roho ngumu
Tatizo mkuu unadandia tu...hivi umeelewa vzr tulichokoment hapo juu?
Wewe unayejielewa mbona ni kiwete wa akiliHuyo hajielewi, achana naye.
Yeye aliyejenga kwenye mteremko ataishi salama na nawewe unayelala sebuleni kwa dada/shemeji nani ataslide?am nawe unajiita mwanaumeBaraka naee...sa'kwann kaamua kujenga kweny mtelemko?!Nyumba siitaslide hiyo..
Poa tutusaSawa baamedi
[emoji107]Wewe unayejielewa mbona ni kiwete wa akili
KibwengoPoa tutusa
[emoji107]Kibwengo
Wivu tuMbona imekaa kama inataka kuanguka au kajenga kwenye mawe kwao nyamagana
Are you sure?Hongera msukuma
Wewe sio mzima."Mkuu mimi nilikuwa nawaza kama hivi yaani Jamaa ana roho ngumu" hivi hujagundua ulipokosea au nati zimelegea
Huwelewe-Huelewi,Nikuwache-Nikuache, mpaka hapa utakuwa umetambua nani si mzima..mana shule mnaenda kusoma ujingaWewe sio mzima.
Huwelewe unachokisoma.
Kwakuwa nimeshatambua kuwa wewe sio mzima kwa mujibu wa utafiti wa hivi juzi...ngoja nikuwache.