Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Baraka Da Prince aonesha nyumba yake

Rudia kusoma post yako ya kwanza
Ase, yani kajenga nyumba na girlfriend? Mke tu watu wanaogopa

My comment was:
Mkuu mimi nilikuwa nawaza kama hivi yaani
Jamaa ana roho ngumu

Tatizo mkuu unadandia tu...hivi umeelewa vzr tulichokoment hapo juu?
 
"Mkuu mimi nilikuwa nawaza kama hivi yaani Jamaa ana roho ngumu" hivi hujagundua ulipokosea au nati zimelegea
 
Baraka ana nyodo sana zaidi ya damu yani, eti anasema staki mtoto wangu azaliwe anikute kwenye nyumba za kupanga, kwaio sisi tuliopanga sio watu, ishu za kimanzi izo baraka, dimond na Kiba wenyewe wanapiga hela lakini hawajatoa maneno ya kidemudemuu kama yako
 
"Mkuu mimi nilikuwa nawaza kama hivi yaani Jamaa ana roho ngumu" hivi hujagundua ulipokosea au nati zimelegea
Wewe sio mzima.
Huwelewe unachokisoma.
Kwakuwa nimeshatambua kuwa wewe sio mzima kwa mujibu wa utafiti wa hivi juzi...ngoja nikuwache.
 
Wewe sio mzima.
Huwelewe unachokisoma.
Kwakuwa nimeshatambua kuwa wewe sio mzima kwa mujibu wa utafiti wa hivi juzi...ngoja nikuwache.
Huwelewe-Huelewi,Nikuwache-Nikuache, mpaka hapa utakuwa umetambua nani si mzima..mana shule mnaenda kusoma ujinga
 
Back
Top Bottom