Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamchukiaaa ??:chuki lako kinyesi tu.Ili jamaa nalichukia aise na weusi wake anajiona kawin sana maisha akati kakuta watu kwenye gemu sa kina AY , joh makini wangekua hivo ingekuwaje...ustaa unamsumbua uyo dogo
OkUnamchukiaaa ??:chuki lako kinyesi tu.
Kwanini umchukie au nawe unataka kumpangia cha kupost?haka nako kana mambo ya kike...na angekuaga mzuri au loaded basi tungekoma loh
Huyu dogo kwa upashkuna wake anazidi kuwa mweusi daily.haka nako kana mambo ya kike...na angekuaga mzuri au loaded basi tungekoma loh
Halafu ommy dimpoz nae tusemeje?haka nako kana mambo ya kike...na angekuaga mzuri au loaded basi tungekoma loh
mbona yule cho.ko wenu dimpoz huwa hamsemi?Huyu hana sifa za uume huwa namshangaa sana kwani kukosana na mtu ndo mpk uwe unamtukana?