Niliona jana walivyokuwa wanatupiana maneno EATV redio
Yaani ilikuwa aibu kwa Baraka kwani anataka kuondoka kabisa mara anasimama!
(EATV RADIO!!!!) REDIO YA NCHI GANI HIYO!?, HIYO SIO RADIO YA NCHI HII! LABDA UTUAMBIE NI YA NCHI GANI HIYO!? HAPA TUNA (EA RADIO TU)!
Acha uongo ni lini huyo mjaluo aliwahi kuwa super star?Dogo ana matukio mabaya mengi, kamtukana msami, suma mnazaleti, kamfukuza mdogo wake home Sinza kwake akidai dogo mwizi,. naweza kusema wenge la u superstar linamzingua mdogo wetu.
EATV Radio...mkuu huezi kua hujalewaNiliona jana walivyokuwa wanatupiana maneno EA redio
Yaani ilikuwa aibu kwa Baraka kwani anataka kuondoka kabisa mara anasimama ila anakalishwa kwa nguvu. Daah
MistakenEATV Radio...mkuu huezi kua hujalewa
We boya home tunamiliki cafeteria kali tu na dogo tumempa sana kiki kitaa ila ananata na anajichukua sana anajiona kama yeye ndo mnyamwezi zaidi ya Fabulous au Trey...! Karma is the bitch mchizi hajafanya fair kwa mwana that's why nimemkazia.....sasa na wewe mama ntilie,hizi stori zinahusiana nini na uzi;ndo tuone unamjua sana,ama?
..nyie misukuma mtaacha lini usoro!??
[emoji12] [emoji12] [emoji12]Tatizo nn sasa kilichopo atoe wimbo mkali zaidi ya uwo tudhibitishe kwani aliiba na kipaji
Hujaeleweka ulichokiandika edit tusome tena
Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio fine' lakini baraka akabisha, alipozidi kubanwa akawa ana hasira na kutaka kuondoka studio
Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa hiyo nyimbo sio ya kwake
Mkuu umeona EA Radio? hiyo channel inapatikana king'amuzi ganiNiliona jana walivyokuwa wanatupiana maneno EA redio
Yaani ilikuwa aibu kwa Baraka kwani anataka kuondoka kabisa mara anasimama ila anakalishwa kwa nguvu. Daah
we na wew acha umchicha pori huo....hiyo 2010 baraka bado anachunga ngombe mwanza huko afu ww unaitajataja kirahisi tu et....nyimbo ya mwaka jana mwanzoni hiyo.Nyimbo ya 2010 inajadiliwa 2016.. huyu dullar lengo lake amdhalilishe barakakiba nini?
...teh hee hee..,umejitutumua mwenyewe kuandika 'kinyamwezi';misukuma bhana!We boya home tunamiliki cafeteria kali tu na dogo tumempa sana kiki kitaa ila ananata na anajichukua sana anajiona kama yeye ndo mnyamwezi zaidi ya Fabulous au Trey...! Karma is the bitch mchizi hajafanya fair kwa mwana that's why nimemkazia.
Sometime tunaexposes mitkasi yake negative kama hii ili ajue haya maisha tu! Muhimu Ubuntu.
Huyo Michale Jackson mwenyewe kwenye ubora wake nisingemletea shobo za kumjua ije kuwa huyu Cheusi mangala...! No way no!
Kama ndo yeye wewe unatumia ID hii..kitaa tumekumind sana tu.
are you deaf and stupid?Hujaeleweka ulichokiandika edit tusome tena
We jamaa ni limbukeni kishenzi..yaani from nowhere tu unakuja kudiss wanaume au unataka kamisheni nini kwa Baraka? Kwa taarifa yako dogo tunamjua ni bahili dunia nzima...hupati hata shekeli....teh hee hee..,umejitutumua mwenyewe kuandika 'kinyamwezi';misukuma bhana!
...poa boya,ntapita kula makoko hapo cafeteria na mimi!
....ha ha ha ha....'mnyamwezi' huyo,'kidhungu' kingiiiii;yunoworaamsei meeeen!!We jamaa ni limbukeni kishenzi..yaani from nowhere tu unakuja kudiss wanaume au unataka kamisheni nini kwa Baraka? Kwa taarifa yako dogo tunamjua ni bahili dunia nzima...hupati hata shekeli.
Matter of fact, sio kila anaekaa mwanza ni msukuma mi natoka Litembo, Ruvuma. So acha kuwatukana na kuwadiss wasukuma that's ignorant kustick kwenye kabila la watu wasio na hatia abt this shiit! Still ni ulimbukeni na upunguani.
Yeaah! Tuna cafeteria pale home njoo tutakupa tu hayo makoko ila make sure u've good heart and humble vinginevyo ukileta ngebe na majivuno wewe ndo utaiona picha yako kabisa humu au Global publisher...blalifuli!
Kwanza kwa uhandishi wa tuandishi twako huto twa kiboya kuna uwezekano nabishana na mraibu wa madawa ya kulevya au Mdogo wake na Cameroon.
You sound imbecilic and ignorant.