We jamaa ni limbukeni kishenzi..yaani from nowhere tu unakuja kudiss wanaume au unataka kamisheni nini kwa Baraka? Kwa taarifa yako dogo tunamjua ni bahili dunia nzima...hupati hata shekeli.
Matter of fact, sio kila anaekaa mwanza ni msukuma mi natoka Litembo, Ruvuma. So acha kuwatukana na kuwadiss wasukuma that's ignorant kustick kwenye kabila la watu wasio na hatia abt this shiit! Still ni ulimbukeni na upunguani.
Yeaah! Tuna cafeteria pale home njoo tutakupa tu hayo makoko ila make sure u've good heart and humble vinginevyo ukileta ngebe na majivuno wewe ndo utaiona picha yako kabisa humu au Global publisher...blalifuli!
Kwanza kwa uhandishi wa tuandishi twako huto twa kiboya kuna uwezekano nabishana na mraibu wa madawa ya kulevya au Mdogo wake na Cameroon.
You sound imbecilic and ignorant.