Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,415
"Don't argue with the fool because they will take you into their level of ignorance and beat you with experiences"....ha ha ha ha....'mnyamwezi' huyo,'kidhungu' kingiiiii;yunoworaamsei meeeen!!
....ha ha ha
.....ha ha ha.,dadeki!...'mnyamwezi' kavunja yai viza tupu,hataki kuchanganya na kimatumbi blalbasket!"Don't argue with the fool because they will take you into their level of ignorance and beat you with experiences"
Unajua maandishi ya mtu yanazungumza vitu vingi saana juu ya mtu huyo...maandishi yako yanaashiria akili yako ni fupi kama maisha ya funza......ha ha ha.,dadeki!...'mnyamwezi' kavunja yai viza tupu,hataki kuchanganya na kimatumbi blalbasket!
..kweli mkiwa na cafeteria home hadi watu wanakula makoko lazima ung'eng'e upande!
.tisha sana;ha ha ha!
.....ha ha ha ha...nithamehe thana bradha mnyamwedhi;mi nna aleji na kidhungu;Unajua maandishi ya mtu yanazungumza vitu vingi saana juu ya mtu huyo...maandishi yako yanaashiria akili yako ni fupi kama maisha ya funza.
Makoko tunawauzia wale bure cafeteria ya baba yao?
Na ukiendelea kuchonga ngenga natandika yai mwanzo mwisho....Ahaha! Afu tuone sasa!
umeandika kama unaoga njeare you deaf and stupid?
[emoji3] [emoji3] [emoji115]Mahakama ya mafisadi inakosa vipi kesi na baraka kaiba wimbo wa mo ila hawaoni..... jokes
Na wewe hupishani na huyo mama ntilie sasa usukuma umeingiliana je hapo kama sio ukokoro....sasa na wewe mama ntilie,hizi stori zinahusiana nini na uzi;ndo tuone unamjua sana,ama?
..nyie misukuma mtaacha lini usoro!??
Kwahyo unalingana nae?Acha uongo ni lini huyo mjaluo aliwahi kuwa super star?
Hivi huyu mkuu aliulizwa kwao kuna nini?maana kuanza kusema kwao kuna cafeteria huo ni utoto kulingishiana kwetu tumepika wali je kwenu mme pika nini.....ha ha ha ha...nithamehe thana bradha mnyamwedhi;mi nna aleji na kidhungu;
..na kwani ulin'thomesha??
...
....unaniangusha ujue.,kwamba we hujui misukuma ni mishamba ama maksudi tu unaletaNa wewe hupishani na huyo mama ntilie sasa usukuma umeingiliana je hapo kama sio ukokoro
....ha ha ha..we muache mnyamwezi,akianza kidhungu hapa usikimbie;Hivi huyu mkuu aliulizwa kwao kuna nini?maana kuanza kusema kwao kuna cafeteria huo ni utoto kulingishiana kwetu tumepika wali je kwenu mme pika nini