Kumbe Tanzania kuna wasanii washamba na malimbukeni usanii sio kuvaa nguo nzuri, kutia mbwembwe na ung'eng'e kwenye kuongea , kutoka na wasichana wazuri, ama kuposti picha unaenda wapi upo na nani ama unakula nini
Dhana nzima ya kuwa MSANII na kujishughulisha na SANAA bado hawaijui na hawataijua ndio sababu usanii bongo upo kwenye vijimaneno, tambo nyingi na kashikashi za hapa na pale baina yao wenyewe
nadani msanii bora ni yule kwanza anayeweza kucontrol emotion zake ndiyo mengine yafuate yanaohusiana huo usanii wao wanaoujua wenyewe
Wakuitwa baraka sijui anajiita prince siyo kwa usukuma huo, sijui kiba iwe baki, domo mara dangote lakini sio ALIKO na wengine fanyeni usanii kama dhana yake inavyojieleza