Baraka Da prince aumbuliwa vibaya studio na msanii aliyemuibia nyimbo

Baraka Da prince aumbuliwa vibaya studio na msanii aliyemuibia nyimbo

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061

Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio fine' lakini baraka akabisha, alipozidi kubanwa akawa ana hasira na kutaka kuondoka studio
Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa hiyo nyimbo sio ya kwake
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] inawezekana ni kweli, bongo si ndo zetu bhana
 
Baraka da prince sijui ataacha Usukuma / Ujaluo lini

Mshambaaa.
 
ujanja kuwahi, baraka ana nyimbo nzuri zaidi ya hiyo 'baby sio fine' huyo mwenzie ajitahidi tu kutoa nyimbo nzuri atatoka....tumechoka wasanii kutumia kiki ili watoke
 
Dogo ana matukio mabaya mengi, kamtukana msami, suma mnazaleti, kamfukuza mdogo wake home Sinza kwake akidai dogo mwizi,. naweza kusema wenge la u superstar linamzingua mdogo wetu.
 
Huyo aliyeibiwa ana nyimbo ngapi tofauti na hiyo iliyoibiwa mpaka sasa?
 
Baraka da prince aliumbuliwa vibaya kwenye studio za East Africa Radio baada ya kualikwa yeye na msanii waliyekuwa studio moja huko Mwanza, msanii huyo alisema baraka alimuibia nyimbo ya 'Baby sio fine' lakini baraka akabisha, alipozidi kubanwa akawa ana hasira na kutaka kuondoka studio
Ila msanii Mo music ambaye alikuwa na Baraka studio hiyo moja alithibitisha baraka kuwa hiyo nyimbo sio ya kwake

huyu underground naye anatafuta kiki tu.ata
me ningesema simjui kwanini asingesema kipind hicho
 
Huyu dogo Baraka nimemuuzia msosi na sometime akifulia alikula fello unaojulikana kama ukoko pale mgahawani kwetu maeneo ya Mabatini mwanza.

Dogo sidhani kama katoka familia bora kama anavyokariri!? Na ana maqwere kibao sijui usupastaa umemzidi uzito?
....sasa na wewe mama ntilie,hizi stori zinahusiana nini na uzi;ndo tuone unamjua sana,ama?
..nyie misukuma mtaacha lini usoro!??
 
Tatizo nn sasa kilichopo atoe wimbo mkali zaidi ya uwo tudhibitishe kwani aliiba na kipaji
 
Back
Top Bottom