Baraka da Prince umeanza kuzingua na haya mashauzi ya kike

Ndo nani huyu?
 
Aina ya muziki unaofanywa na YOUNG KILLER ni mziki unaopendwa na watu wenye AKILI KUBWA..Je huyo kijana yuko na AKILI KUBWA?

Miziki inayopendwa na watu wenye uwezo wa kufikiria ni kama ya FID Q, SONGA, ONE THE INCREDIBLE na wenzake..pia WEUSI.
 
huyu kaka mbona mashauzi kaanza muda
anajiskia sana afu anapenda mabifu
tangu nyimbo zake mbili cjui tatu watu tuzipokee ameanza nyodo sana jamaa.
 
Ameongea ukweli wake ulio moyoni ila kwa Tz watamuita Hater
 
Huyu hana future kwenye mziki wa tz, kwanza mshamba fulani, mpenda figisu asiyeweza kufunga zip ya pants zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…