Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anatakiwa kua na akiba ya manenohuyu si ndo yule alisemaga Diamond ndo ndudu gn.... aache nashauzi killer hamuwezi na izo nyimbo zake za kutungiwa
Dogo yuko vizuri sana mm namkubali.. Huyo mshamba anatafuta kiki tu na kudandia dandia mademu tu hana future na mziki,
Niwe na hasira nae [emoji15] [emoji15] excuse me!Mbona una hasira nae sana mshawahi tofautiana Hapo kabla?
Ni wa wapi huyo?Ndio kawaida,wasanii wa mikoani wakishafika Bongo DSM Tanzania na wakavua chupi mbili tatu za wadada wa Bongo muvi basi dharau huanzia hapo,utaondoka bila kuaga,ustaarabu,kauli nzuri na ushirikiano na wenzio hauuzwi..
watu na maneno yao ya moyon![]()
Msanii wa muziki, Barakah Da Prince, amefunguka na kusema kuwa yeye si shabiki na wala hapendi muziki anaoufanya rapa na mzaliwa mwenzie wa Mwanza Young Killer Msodoki.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Siwezi’ ameiambia Times Fm, kuwa hapendi muziki wala hajawahi kupenda kazi yoyote ya Msodoki.
“Sijawahi kupenda muziki anaoufanya Killer,” alisema Barakah. “Mi sio shabiki yake kabisa, najua ndio anatokea home na nini lakini sipendi muziki wake,”
Katika hatua nyingine amesema rapa anayemkubali zaidi ni Young Dee kwa kuwa anauwezo wa kubadilika kulingana na Mazingira.
kutakuwa na kitu baina yao xo rahisi kutoa hisia negative ulizonazo kwa msanii mwenzako ,thats nat fair guys![]()
Msanii wa muziki, Barakah Da Prince, amefunguka na kusema kuwa yeye si shabiki na wala hapendi muziki anaoufanya rapa na mzaliwa mwenzie wa Mwanza Young Killer Msodoki.
Muimbaji huyo ambaye anafanya vizuri na wimbo ‘Siwezi’ ameiambia Times Fm, kuwa hapendi muziki wala hajawahi kupenda kazi yoyote ya Msodoki.
“Sijawahi kupenda muziki anaoufanya Killer,” alisema Barakah. “Mi sio shabiki yake kabisa, najua ndio anatokea home na nini lakini sipendi muziki wake,”
Katika hatua nyingine amesema rapa anayemkubali zaidi ni Young Dee kwa kuwa anauwezo wa kubadilika kulingana na Mazingira.
Anatafuta kiki[/QUOT
asee kweli, vinyimbo vi3 anajiona star bongo, kama hapendi kazi za msodoki si akaushe tu.Maskini akipata matako hulia BWATA
Bila shaka wewe utakua ni NAJ???Haha hater wamevamia huu Uzi kajipangeni barakah ni next level #nisamehe
Yuko wapi mr nice ssa ivi??? ikiwa hata nusu ya umaarufu wa mr nice hajafikia leo hii anajifanya hapendi mziki wa killer, kwa nyimbo 3 tu au anatafuta KIKI kupitia kwa msodoki??Tatizo letu wa Tz hatupendi kusikia mtu anaongea ukweli,simple and clear HAUPENDI MUZIKI WA MSODOKI hapo figisu inatoka wapi mbona wengi wanasema hawasikilizi wabana pua duh tunapenda kudanganywa hata vitu vidogo.
mhhhh labda wali KAOGELEANA