Baraka da Prince umeanza kuzingua na haya mashauzi ya kike

Katoa yake ya moyoni bado mnamshambulia.

Wabongo bwana!!!
 
Ndio kawaida,wasanii wa mikoani wakishafika Bongo DSM Tanzania na wakavua chupi mbili tatu za wadada wa Bongo muvi basi dharau huanzia hapo,utaondoka bila kuaga,ustaarabu,kauli nzuri na ushirikiano na wenzio hauuzwi..
 
Kwani ukiwa msanii lazima umkubali kila msanii?, au ukiwa msannii ndio inatakiwa ukubali hata kitu usichokipenda?
Wabongo hawampendi mtu anayesema ukweli,wanapenda kusifiwa na kila mtu kitu ambacho akiwezekani.
Ni heri mtu anayekupa ukweli mchana kweupe,kuliko yule anayejidai anakupenda alafu ukimpa mgongo anakuponda.
 
Tatizo letu wa Tz hatupendi kusikia mtu anaongea ukweli,simple and clear HAUPENDI MUZIKI WA MSODOKI hapo figisu inatoka wapi mbona wengi wanasema hawasikilizi wabana pua duh tunapenda kudanganywa hata vitu vidogo.
 
Ndio kawaida,wasanii wa mikoani wakishafika Bongo DSM Tanzania na wakavua chupi mbili tatu za wadada wa Bongo muvi basi dharau huanzia hapo,utaondoka bila kuaga,ustaarabu,kauli nzuri na ushirikiano na wenzio hauuzwi..
Ni wa wapi huyo?
 
Huyu bwanamdogo angekuwa anazingatia PR vizuri angefika mbali. Ila naona hazingatii kabisa nidhamu kwenye career yake.
 
Amekata mzizi wa unafiki kujifnya unamkubal mtu na humkubal huo n unafikii
 
watu na maneno yao ya moyon
 
kutakuwa na kitu baina yao xo rahisi kutoa hisia negative ulizonazo kwa msanii mwenzako ,thats nat fair guys
 
jama mbona mmetoka povu sana kwa dogo baraka? kumbukeni sio kila mtu atakufurahisha tu wengine kama NO ni NO tu..Na huo ndo ukweli kajisemea so kashaonekana hater.
 
Mleta mada umekosea kitu kimoja Huyo baraka ni mhaya wa bukoba huko sema ndo hawapendi kujiita wahaya na hua wanajiita wasukuma wa mwanza Huyo shomile tuu alaff siunajua wanavyopenda kujisifia wahaya so ni kawaida tu
 
Tatizo letu wa Tz hatupendi kusikia mtu anaongea ukweli,simple and clear HAUPENDI MUZIKI WA MSODOKI hapo figisu inatoka wapi mbona wengi wanasema hawasikilizi wabana pua duh tunapenda kudanganywa hata vitu vidogo.
Yuko wapi mr nice ssa ivi??? ikiwa hata nusu ya umaarufu wa mr nice hajafikia leo hii anajifanya hapendi mziki wa killer, kwa nyimbo 3 tu au anatafuta KIKI kupitia kwa msodoki??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…