Baraka De Prince na Najma kitandani mahaba

Hongera Sana Ngosha Mjaluo kwa kukamata mchuchu mkareeee.
 
Hizi simu za kufuta naona zinaleta shida aiseeee
 
Nidhamu hakuna kabisa. Shetani gani katua kwenye vichwa vya vijana?
Hats sisi tulikuwa hivyo wakati wa ujana ila hatukuweka video kwa sababu mtandao ulikuwa wa TTCL ya mezani tu. Hivi wewe hukumbuki album yako ulivyokuwa unaweka picha za wapenzi halafu unawaonyesha washkaji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…