Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanapenda show offs sometimesHow??
Hapa utakuwa unawaonea wanaume wa dar,vimwanaume vya dar buana!
kuna wakati unajutia kuwa mzazi
hahahahahNajuta kufungua hiyo video, nuksi tupu
BARAKA DE PRINCE AONYESHA JINSI GANI ANAMPENDA NAJMA!, ATOA VIDEO HII MTANDAOONI.
Hats sisi tulikuwa hivyo wakati wa ujana ila hatukuweka video kwa sababu mtandao ulikuwa wa TTCL ya mezani tu. Hivi wewe hukumbuki album yako ulivyokuwa unaweka picha za wapenzi halafu unawaonyesha washkaji?Nidhamu hakuna kabisa. Shetani gani katua kwenye vichwa vya vijana?