OGTV
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 353
- 167
BARAKA DE PRINCE AONYESHA JINSI GANI ANAMPENDA NAJMA!, ATOA VIDEO HII MTANDAOONI.
"Najma ndiyo mwanamke pekee ambaye nimeamua kwamba nitamuoa na ameshakubalika kwa wazazi wangu, hao wanaochonga waendelee tu hawatuzuii kufanya mambo yetu," amesema Barakah De Prince.