Baraka Mpenja umeanza kushabikia mpira wa miguu lini?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Kila ukizungumzia ushindi ya Yanga akili yako inakutuma Simba wanaumia. Hivi unadhani mashabiki wa mpira wako kama wanawake kwa wivu usio na maana?

Kuna wakati wa kuumia lakini sio kila tukio linaumiza na sisi Simba hatuwezi kuumia kwa ushindani wa kila kitu. Na kama ni kweli kwa akili yako inavyofikiri, hata walimu wasingeweza kufanyia majaribio mechi inayoumiza mashabiki kama unavyopost kuhusu mapinduzi cup.

Sisi tunajua Yanga ndiyo INA struggle kujionesha kuwa ni bora kuliko Simba, lakini siyo Simba kujaribu kujikinganisha na Yanga. Yanga licha ya kushinda bado siyo timu ya kuitisha Simba na sisi mashabiki wa soka,tunajua mpira una matokeo matatu.

Binafsi nawapongeza walimu wa Simba kuwapa nafasi wachezaji wale kwani huenda wao ndio wataumia sana. Na nilitamani Yanga ishinde ili viongozi wangu wasije wakapata sababu ya kuwasamehe wachezaji hao kisa eti mbona yanga wameshinda.

Sipendi usutaji wako kwani wewe sio msemaji wa Yanga unless utangaze rasmi kuwa unashabikia yanga. Sisi tunaumia zaidi kwenye ligi ya premier na ligi ya mabingwa, sio huu upuuzi wa Zanzibar.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usizungumzie kitimu ambacho huwa kinakata keki kusherekea vitu vya kipumbavu!,simba imefika robo fainali club bingwa Africa umesikia imekata keki?,unapozungumzia mpira usizungumzie kabisa utopolo [emoji276]
 
Unasema hau umii lakini una andika maumivu
 
Mkuu usizungumzie kitimu ambacho huwa kinakata keki kusherekea vitu vya kipumbavu!,simba imefika robo fainali club bingwa Africa umesikia imekata keki?,unapozungumzia mpira usizungumzie kabisa utopolo [emoji276]
Mumeo mwigulu kakupa uhuru wa kuchagua timu? Kweli kwenye ndoa yenu kuna demokrasia
 
Kila ukizungumzia ushindi ya Yanga akili yako inakutuma Simba wanaumia. Hivi unadhani mashabiki wa mpira wako kama wanawake kwa wivu usio na maana?

Kuna wakati wa kuumia lakini sio kila tukio linaumiza na sisi Simba hatuwezi kuumia kwa ushindani wa kila kitu. Na kama ni kweli kwa akili yako inavyofikiri, hata walimu wasingeweza kufanyia majaribio mechi inayoumiza mashabiki kama unavyopost kuhusu mapinduzi cup.

Sisi tunajua Yanga ndiyo INA struggle kujionesha kuwa ni bora kuliko Simba, lakini siyo Simba kujaribu kujikinganisha na Yanga. Yanga licha ya kushinda bado siyo timu ya kuitisha Simba na sisi mashabiki wa soka,tunajua mpira una matokeo matatu.

Binafsi nawapongeza walimu wa Simba kuwapa nafasi wachezaji wale kwani huenda wao ndio wataumia sana. Na nilitamani Yanga ishinde ili viongozi wangu wasije wakapata sababu ya kuwasamehe wachezaji hao kisa eti mbona yanga wameshinda.

Sipendi usutaji wako kwani wewe sio msemaji wa Yanga unless utangaze rasmi kuwa unashabikia yanga. Sisi tunaumia zaidi kwenye ligi ya premier na ligi ya mabingwa, sio huu upuuzi wa Zanzibar.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Kwenye hiyo hiyo ligi mliifunga Yanga lini?
 
Kwa mada hii tumejua nani wanaumia. Mangungu anafurahia kumpata kocha ambaye alishaifunga Yanga, halafu kolo moja linadai hawajilinfanishi na Yanga
 
Kila ukizungumzia ushindi ya Yanga akili yako inakutuma Simba wanaumia. Hivi unadhani mashabiki wa mpira wako kama wanawake kwa wivu usio na maana?

Kuna wakati wa kuumia lakini sio kila tukio linaumiza na sisi Simba hatuwezi kuumia kwa ushindani wa kila kitu. Na kama ni kweli kwa akili yako inavyofikiri, hata walimu wasingeweza kufanyia majaribio mechi inayoumiza mashabiki kama unavyopost kuhusu mapinduzi cup.

Sisi tunajua Yanga ndiyo INA struggle kujionesha kuwa ni bora kuliko Simba, lakini siyo Simba kujaribu kujikinganisha na Yanga. Yanga licha ya kushinda bado siyo timu ya kuitisha Simba na sisi mashabiki wa soka,tunajua mpira una matokeo matatu.

Binafsi nawapongeza walimu wa Simba kuwapa nafasi wachezaji wale kwani huenda wao ndio wataumia sana. Na nilitamani Yanga ishinde ili viongozi wangu wasije wakapata sababu ya kuwasamehe wachezaji hao kisa eti mbona yanga wameshinda.

Sipendi usutaji wako kwani wewe sio msemaji wa Yanga unless utangaze rasmi kuwa unashabikia yanga. Sisi tunaumia zaidi kwenye ligi ya premier na ligi ya mabingwa, sio huu upuuzi wa Zanzibar.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
Umeongea vizuri sana
 
Mpenja siku hizi maneno mengi sana mpaka amepoteza mvuto.

Anafukuzia uteuzi utopoloni ndiyo maana ukimchunguza akitangaza mechi za yanga anapamba kila mchezaji.
Akitangaza simba utasikia "leo hakuna cha salute"... Mara "yaliyomo yamoo?"

Gharib Mzinga afadhali bado anazingatia weledi wa kazi.
 
Kwa kifupi ni kuwa watangazaji wanajua Yanga ndio sehemu unaweza kupata ajira bila kujua chochote kuhusu taasisi. Cha muhimu wadanganye wao ni bora utapata ajira bila kufuata utaratibu na bila ushindani wowote.
 
We dunduka amka utajikojolea
 
Bongo njaa zinatuharibia ladha ya kila kitu unaweza ukawa unaheshimiana na mtu vizuri kumbe ni chawa la sehemu fulani linatafuta teuzi kijinga mpka linaharibu hadhi yake
 
Nyie lini mlimfunga simba??tuanzie hapa kwanza
[emoji116]
Screenshot_20230105-134319.jpg
 
Bongo njaa zinatuharibia ladha ya kila kitu unaweza ukawa unaheshimiana na mtu vizuri kumbe ni chawa la sehemu fulani linatafuta teuzi kijinga mpka linaharibu hadhi yake
Mnatia huruma sana nyie watu... Yaani mnataka kuwapangia watu hata jinsi ya kuongea ili wawafurahishe ninyi na timu yenu. Mna msongo mkubwa wa mawazo mnaitaji msaada wa daktari
 
Kwa kifupi ni kuwa watangazaji wanajua Yanga ndio sehemu unaweza kupata ajira bila kujua chochote kuhusu taasisi. Cha muhimu wadanganye wao ni bora utapata ajira bila kufuata utaratibu na bila ushindani wowote.
Kwa sasa Yanga ndio timu Bora zaidi hapa nchini Tanzania na ukanda wa East Africa.
Huu ndio ukweli mchungu kwenu ninyi wanasimba. Mkiukubali ukweli huu mtaishi maisha ya furaha na amani kuliko huku kulia Lia Kila siku.

Yaani baraka mpenja kuongea ukweli kwenu imekuwa nongwa???
 
Back
Top Bottom