Kila ukizungumzia ushindi ya Yanga akili yako inakutuma Simba wanaumia. Hivi unadhani mashabiki wa mpira wako kama wanawake kwa wivu usio na maana?
Kuna wakati wa kuumia lakini sio kila tukio linaumiza na sisi Simba hatuwezi kuumia kwa ushindani wa kila kitu. Na kama ni kweli kwa akili yako inavyofikiri, hata walimu wasingeweza kufanyia majaribio mechi inayoumiza mashabiki kama unavyopost kuhusu mapinduzi cup.
Sisi tunajua Yanga ndiyo INA struggle kujionesha kuwa ni bora kuliko Simba, lakini siyo Simba kujaribu kujikinganisha na Yanga. Yanga licha ya kushinda bado siyo timu ya kuitisha Simba na sisi mashabiki wa soka,tunajua mpira una matokeo matatu.
Binafsi nawapongeza walimu wa Simba kuwapa nafasi wachezaji wale kwani huenda wao ndio wataumia sana. Na nilitamani Yanga ishinde ili viongozi wangu wasije wakapata sababu ya kuwasamehe wachezaji hao kisa eti mbona yanga wameshinda.
Sipendi usutaji wako kwani wewe sio msemaji wa Yanga unless utangaze rasmi kuwa unashabikia yanga. Sisi tunaumia zaidi kwenye ligi ya premier na ligi ya mabingwa, sio huu upuuzi wa Zanzibar.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app