Baraka Mpenja umeanza kushabikia mpira wa miguu lini?

Aisee. Jina linasadifu unachoandika. Yanga ni bora East Africa? Hebu tuambie ni mechi gani inayohusisha timu toka ukanda wa Afrika mashariki ambayo mlishapata walau sare?
Kwa haraka tuanze na mechi dhidi ya Vipers halafu tuendelee na zingine.
 
Kumbe kipindi alivokuwa anawasifia wachezaji wa Simba kipindi kile Simba anachukua makombe mfululizo haikuwa ubora wa Simba bali ilikuwa mnampa mlungula ili awasifie eti??

Shtuka we dunduka mambo yamebadilika Yanga ndio talk of the town kwa sasa mpira mwingi unapigwa, makombe yote yanachukuliwa
 
Uelewa wako mdogo sana.
 
Aisee. Jina linasadifu unachoandika. Yanga ni bora East Africa? Hebu tuambie ni mechi gani inayohusisha timu toka ukanda wa Afrika mashariki ambayo mlishapata walau sare?
Kwa haraka tuanze na mechi dhidi ya Vipers halafu tuendelee na zingine.
Simba
 
Kwa kifupi ni kuwa watangazaji wanajua Yanga ndio sehemu unaweza kupata ajira bila kujua chochote kuhusu taasisi. Cha muhimu wadanganye wao ni bora utapata ajira bila kufuata utaratibu na bila ushindani wowote.
Acha uongo, huo ni uongo bwana aaaaaah huo ni uongo[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu kwani Simba inatokea west Africa?? Si hapa hapa Africa Mashariki na juzi Tu wametoka kupasuka Kwa Yanga 2-1 magoli ya Mayele au[emoji3][emoji3]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] si unaona sasa kumbe mtu mwenyewe ni mbumbumbu kiasi hiki, na bado unamlalamikia baraka mpenja kuwasifia Yanga Kwa kutandaza kabumbu safi..

Nikukumbushe tu kuwa bado tuna miaka mingi sana ya kuendelea kuwanyanyasa uwanjani na nje ya uwanja madunduka nyie
 
Mkuu kwani Simba inatokea west Africa?? Si hapa hapa Africa Mashariki na juzi Tu wametoka kupasuka Kwa Yanga 2-1 magoli ya Mayele au[emoji3][emoji3]
Kwa hiyo kuifunga timu moja tena ambayo hujawahi kuifunga kwenye ligi ndio inakufanya kuwa bora kwenye nchi zaidi ya 5?
 
Ninekuuliza ni timu zipi ulizozifunga hadi uwe Bora EA? Hujawahi kufunga timu yoyote ya nje ya TZ iliyo jumuiya ya EA.
 
Haya tuambie kina nani waliitwa kwenye interview zilizowapa ajira Kamwe na Priva?
Wewe pia utuambie nani na nani walioitwa kwenye interview iliyompa ajira Barbara Gonzalez pale Simba?? Tena Barbara ni ntendaji mkuu wa timu, wakati Hawa unaowaongelea ni wapiga kelele tu timu

Rage aliona mbali sana aisee kumbe mpo weupe sana vichwani[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Wale wale walioitwa kumpatia Senzo ajira ya cheo kisichokuwepo utopoloni na ndio haohao walioitwa kwenye interview iliyompa ajira CEO wa sasa wa Utopolo
 
The way unavyo criticize unaonekana ni shabiki Lia Lia wa Simba nilitaraji wewe unaemkosoa aliyeegemea upande mmoja na wewe usingeli egemea upande mmoja ilihitajika mizania (kuzungumza soka na si ushabiki)
 
Ninekuuliza ni timu zipi ulizozifunga hadi uwe Bora EA? Hujawahi kufunga timu yoyote ya nje ya TZ iliyo jumuiya ya EA.
Ngoja nikufundishe kitu we mbumbumbu maana rage hakuwaita ilo jina Kwa bahati mbaya.
Iko hivi, ligi ya Tanzania ndio ligi Bora Kwa sasa ukanda wa Afrika mashariki, na Yanga ndio bingwa wa makombe yote kwenye nchi yenye ubora kuliko nchi zote East Africa pia ndio anaongoza kwenye ligi yake.
Ukisema ni timu zipi Yanga imezifunga jibu ni rahisi tu, Zalani F.C inatoka Sudan kusini na ni miongoni mwa nchi zilizopo jumuiya ya East Africa. Yanga iliifunga Zalan goli 9-0

NB:Matokeo ya mechi ya kirafiki hayajawahi kuhesabiwa mahala popote pale Dunia ndio maana ikaitwa friendly match, Sasa unachekesha pale unapofurahia Yanga alifungwa na vipers ya Uganda friendly match huku ukisahau Simba alifungwa na Alta Solar ya Djibout
 
The way unavyo criticize unaonekana ni shabiki Lia Lia wa Simba nilitaraji wewe unaemkosoa aliyeegemea upande mmoja na wewe usingeli egemea upande mmoja ilihitajika mizania (kuzungumza soka na si ushabiki)
Rage alisema washabiki wote wa Simba ni mbumbumbu iyo hapo clip Tena mkutano mkuu wa klabu, Sasa unategemea mtu kama huyu atakuwa na uelewa wa kujibu hoja ngumu
 
Sasa ndio umethibitisha kauli ya Karia kuwa mna kinyesi. Ubora wa timu hupimwa kwa kushiriki mashindano na kushinda timu zingine. Hauwezi kusema timu ni bora kwa kuangalia ligi yako pekee we kiazi cherema.
Nitakupa mfano mdogo tu. Simba Queens ni mabingwa wa CECAFA kwa wanawake na walizifunga timu za nchi kadhaa kwenye mashindano wakapata haki hiyo.
Kwenye list ya timu bora Afrika Simba ni namba 10 halafu kirahisi unasema Yanga ni bora kuliko timu zote Afrika Mashariki.
Saudi Arabia walimfunga Argentina kwenye Kombe la dunia. Je, hii inawafanya Saudi Arabia kuwa timu bora zaidi Duniani? Kama jibu ni hapana basi inamaanisha Yanga wenye akili ni wawili kweli kama alivyosema mume wenu Manara.
 
Mapinduzi cup ni mashindano ya ma loser. Chunguza timu zilizobaki zinashiriki mashindano hayo utabaini Kama bado kuna timu inayoshiriki CAFCL na bado iko kwenye hayo mashindano basi niitwe mbwa.

Simba wana mashindano yao na wakubwa wenzake huko CAFCL .Haya wameachiwa Yanga na watoto wenzake.

Kama GSM alituma kikosi kazi cha kuumiza wachezaji wetu imekula kwake . Tumewakwepa ki aina

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…