Vawulence
JF-Expert Member
- Jan 4, 2009
- 1,930
- 2,118
Aisee. Jina linasadifu unachoandika. Yanga ni bora East Africa? Hebu tuambie ni mechi gani inayohusisha timu toka ukanda wa Afrika mashariki ambayo mlishapata walau sare?Kwa sasa Yanga ndio timu Bora zaidi hapa nchini Tanzania na ukanda wa East Africa.
Huu ndio ukweli mchungu kwenu ninyi wanasimba. Mkiukubali ukweli huu mtaishi maisha ya furaha na amani kuliko huku kulia Lia Kila siku.
Yaani baraka mpenja kuongea ukweli kwenu imekuwa nongwa???
Kwa haraka tuanze na mechi dhidi ya Vipers halafu tuendelee na zingine.