mpiga vichwa
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 2,376
- 3,811
Mama j ktk ubora wakoWe dunduka amka utajikojolea
Umeshasahau 5-0 na 4-1Kwenye hiyo hiyo ligi mliifunga Yanga lini?
Huyo ni nasma pesaSawa Ashura Ma-UTI
Aliekuwa bingwa mwaka jana ni looser kumbe!Mapinduzi cup ni mashindano ya ma loser. Chunguza timu zilizobaki zinashiriki mashindano hayo utabaini Kama bado kuna timu inayoshiriki CAFCL na bado iko kwenye hayo mashindano basi niitwe mbwa.
Simba wana mashindano yao na wakubwa wenzake huko CAFCL .Haya wameachiwa Yanga na watoto wenzake.
Kama GSM alituma kikosi kazi cha kuumiza wachezaji wetu imekula kwake . Tumewakwepa ki aina
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
We topolo, mbona kipigo cha mbwa mwizi chenu cha 4-1 sikioni? 1-0 ya kigoma pia?[emoji116]View attachment 2469802
Mwaka jana simba alikuwa anashiriki Shirirkisho na siyi CAFCLAliekuwa bingwa mwaka jana ni looser kumbe!
Si ndio Club kubwa kuliko zote au hua mnatuongopeaKwa hiyo Simba ndio kipimo cha kuwa Bora EA?
Uko sahihiSi ndio Club kubwa kuliko zote au hua mnatuongopea
Basi tukisha wanonda nyie wengine haina hajaUko sahihi
HayaBasi tukisha wanonda nyie wengine haina haja