Baraka Mpenja umeanza kushabikia mpira wa miguu lini?

Baraka Mpenja umeanza kushabikia mpira wa miguu lini?

Mpenja acha ufara kama unataka madela ya utopolo tukupe
 
Mapinduzi cup ni mashindano ya ma loser. Chunguza timu zilizobaki zinashiriki mashindano hayo utabaini Kama bado kuna timu inayoshiriki CAFCL na bado iko kwenye hayo mashindano basi niitwe mbwa.

Simba wana mashindano yao na wakubwa wenzake huko CAFCL .Haya wameachiwa Yanga na watoto wenzake.

Kama GSM alituma kikosi kazi cha kuumiza wachezaji wetu imekula kwake . Tumewakwepa ki aina

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Aliekuwa bingwa mwaka jana ni looser kumbe!
 
Back
Top Bottom