Vijana wenye degree msiopenda kwenda kusoma ufundi VETA basi muwe na vipaji vingi ili msikose ajira mbuzi nyie, kutwa kuilalamikia serikali iwaajiri kana kwamba serikali ina ajira nyingi kwenye makabati yake
Hili tatizo tiba yake ni usafi, watu wengi hawasafishi kinywa inavyotakiwa. Ikifikia hatua hii muone dentist, after few appointments iliyobaki piga mswaki vizuri uko poa