Baraka (Sauti ya Radi) Mpenja autosa utangazaji Azam? Kutoka ulingo wa Soka hadi kugeukia Uigizaji

Baraka (Sauti ya Radi) Mpenja autosa utangazaji Azam? Kutoka ulingo wa Soka hadi kugeukia Uigizaji

Vijana wenye degree msiopenda kwenda kusoma ufundi VETA basi muwe na vipaji vingi ili msikose ajira mbuzi nyie, kutwa kuilalamikia serikali iwaajiri kana kwamba serikali ina ajira nyingi kwenye makabati yake
 
Daaaa ndio Mwaipopo Mwaisa? Kila la kheri tasnia fani mpya.....huwezi jua
 
Hapana, comment sikutoa mimi ila nimeshangaa jinsi mlivyoichukulia personal ndio maana nikawaambia mpige miswaki
Sawa,ila hilo tatizo haliishi kwa kupiga mswaki tu,ni tatizo la kiafya linalohitaji tiba
 
Sawa,ila hilo tatizo haliishi kwa kupiga mswaki tu,ni tatizo la kiafya linalohitaji tiba

Hili tatizo tiba yake ni usafi, watu wengi hawasafishi kinywa inavyotakiwa. Ikifikia hatua hii muone dentist, after few appointments iliyobaki piga mswaki vizuri uko poa
 
Back
Top Bottom