Baraka za ndoa zachachamaa kwaya ya Kwetu Pazuri ya Rwanda


Toka apa..wasabatomkinao tu nimewabandua wana mashanga kiunoni kama wamakonde
 
Mkuu, Vazi la mila za huko, Kawaida kabisa kuvaa kitamaduni.!! Halafu Tabiya wanawake hupenda makorokoro siku ya harusi zao..... Hakuna sheeedar hapo!
 
Kwani w kuna wanawake waafrika wazee wanao olewa na wazungu vijana?kama yupo ushuhuda tafadhali.:help:
 
Eti nini? Mzungu? Umri? Wewe ni Mbaguzi wa rangi na umri mkubwa sana. Makala nzima ni neno Mzungu tu, kwani angelikuwa Muha au Mkala, ungelizirudia hizo Muha mara nyingi namnq hiyo?

Wazungu ni Binadamu tu kama sisi. Unaweza kukuta hiyo binti kwao wana hela nyingi kumzidi jamaa au jamaa anafanya kazi kwenye kampuni ya Baba ya huyo Dada au ndugu za huyo mdada.

Acheni complex za kuwaogopa hawa watu na kudhani ni deal kubwa sana. Eti ukiowa au kuolewa na Mzungu basi maisha yako yamebadilika. Heri kamuowe Mwana****** JK, utapewa na wewe ka-rambo kamoja kutoka stanbic bank.
 
Kwa kuangalia tu huyo jamaa yuko kwenye early 50s au late 40s. Anyway uzee ni how you feel yourself not age.

Mimi sioni ajabu kwa kuwa kwetu wazee wa miaka hadi 70 wameoa 17s au chini ya hapo. Provided aliyeolewa anaoleka! Nawatakia kila la heri!
 
Mlitaka aolewe na nani sasa wakati mwanaume aliempata na akamtangazia ndoa ni huyo? hongera zao kwa kuamua kuacha kuzini na kufanya tendo la ndoa.

huko sawa kabisa. majitu mengine wivu tu. kuna baba wakiislam Binti yake alipata mchumba mkiristo.baba alipowaeleza maustaadh kuwa bintie kapata kijana mkiristo.vmaustaadh walichachamaa eti anaolewaje na kafiri? yule baba aliwambia huyu binti hajapata mchumba wa kiislam hivyo mimi natoa ruksa. mahari alichukua navbinti akaolewa. kama waafrika mmemgaya kwa nini asiolewe na mzungu?
 
Aisee..cha ajabu ni nini?

Mioyo yao imeivana...

Ya Ngoswee. ...
 
Ajabu nini sasa hapo? muacheni mdada kajipunguzia purukushani za kitandani, mzee wa watu wala hata mkurupua sana bidada.

kifupi iko poa sana
 
usikwazike ndugu yangu hayo mavazi ni tamaduni yao
hilo tu ndo limenikwza kwako ila kwa kuem kwamba huyu mzungu nizee laah wkuone wv mwagu
hongeasn[/QUOTE]
 
Hongera yake,ingawa atakuwa mjane mapema sana kama kapewa umri mrefu!
 
Inakatisha tamaa sana kuona Great Thinkers tunamjadili mtu/watu tena ambao hawana umashughuli wowote. Ndoa ni chaguo lake bwana tumuache tu, wewe unamuona mzee mwenyewe anamuona Baby. Tujadili vitu vya msingi.
 
Mbona hapa ninachokiona ni wivu tu wala hakuna la maana?

Tatizo kwa kuwa kaolewa na mzungu ama mzee?

Wtanzanania wangapi wanaolewa na wazee lakini hamsemi?

Mara ngapi tunashuhudia watoto wanamaliza darasa la saba wanaolewa na babu zao? Mbona kule musoma mizee inabook mimba kwama akizaliwa wa kike ni mke na akizaliwa wa kiume ni rafiki?

Jamani, naomba mwonage aibu mara nyingine kujionyesha udhaifu wenu kwenye mitandao.

Ni ndoa zipi zinaongoza kwa migogoro kati ya za age mates ama za wasichana waolewao na watu wazima?


Wanaume mnaotaka wanawake wa kizungu wazee kwa wadogo tuwasiliane.

Wanawake mnaotaka wanaume wa kizungu wazee kwa vijana, wapo wengi tu huku.

Vinginevyo mnatia aibu.
 
Hakuna shida hapo wamependeza,Mungu ailinde ndoa yao
 
Kwani w kuna wanawake waafrika wazee wanao olewa na wazungu vijana?kama yupo ushuhuda tafadhali.:help:

Nimeipenda hiyo mkuu, mzungu kijana aoi mwafrika, mpaka mzungu achoke ndio aje Afrika kupata mtoto mbichi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…