Camp Gilgal
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,453
- 4,592
Shida iko wapi? Kwani wazee hawahitaji kuoa na kupata mke wa kuwatunza? Hata Daudi alipokuwa mzee alitafutiwa binti mbichi wa kumlea. Sioni shida.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ni sabuni ya roho
hongera sana binti wa Kinyarwanda umepata mume ila mimi kama mu imani yako sda nimwkwazwa na jinsi ulivyovaa shanga na mkufu sisi wasabato mbona hatuna hayo mambo?
hilo tu ndo limenikwza kwako ila kwa kuem kwamba huyu mzungu nizee laah wkuone wv mwagu
hongeasn
Mkuu, Vazi la mila za huko, Kawaida kabisa kuvaa kitamaduni.!! Halafu Tabiya wanawake hupenda makorokoro siku ya harusi zao..... Hakuna sheeedar hapo!hongera sana binti wa Kinyarwanda umepata mume ila mimi kama mu imani yako sda nimwkwazwa na jinsi ulivyovaa shanga na mkufu sisi wasabato mbona hatuna hayo mambo?
hilo tu ndo limenikwza kwako ila kwa kuem kwamba huyu mzungu nizee laah wkuone wv mwagu
hongeasn
Kwa kuangalia tu huyo jamaa yuko kwenye early 50s au late 40s. Anyway uzee ni how you feel yourself not age.
Mlitaka aolewe na nani sasa wakati mwanaume aliempata na akamtangazia ndoa ni huyo? hongera zao kwa kuamua kuacha kuzini na kufanya tendo la ndoa.
Kwani w kuna wanawake waafrika wazee wanao olewa na wazungu vijana?kama yupo ushuhuda tafadhali.:help:
Hakuna shida hapo wamependeza,Mungu ailinde ndoa yao
Nani kakudanganya kuwa binti kampenda mwanaume?, hakunaga hiyo acheni utani
Njaa ya mtu mweusi imemfikisha hapo alipo.Nimeipenda hiyo mkuu, mzungu kijana aoi mwafrika, mpaka mzungu achoke ndio aje Afrika kupata mtoto mbichi