Baraka za ndoa zachachamaa kwaya ya Kwetu Pazuri ya Rwanda

Nampongeza sana huyu Dada kupata mume.
Kwanza ni size yake na wamependeza sana.
Huyu anayesema kaolewa na Mzee haiyumkini alimtaka akamkataa.
Na tena si ajabu Binti kuolewa na mme alomzidi umri.
Narudia kukupongeza wewe Dada umepata mume
 
namuonea raha sana kumpata mzungu. wanaume wa kiafrika waongo sana hawana mapenzi zaidi ya kuchepuka
 
Nampongeza sana huyu Dada kupata mume.
Kwanza ni size yake na wamependeza sana.
Huyu anayesema kaolewa na Mzee haiyumkini alimtaka akamkataa.
Na tena si ajabu Binti kuolewa na mme alomzidi umri.
Narudia kukupongeza wewe Dada umepata mume

Inaonekana na wewe uko kwenye kundi la Ntuyabaliwe na Mengi
 
uzee mwisho Rusumo border.Rwanda wote baby.

mbona mzee wa kidogo,machache mengi amumsemi au kwa vile mwafrika
 
Tatizo ni nini hapa? Rangi? Umri?

Wanawake wa Kinywaranda hupenda kuolewa na wazee wenye faranga,haijalisha mzungu au mweusi maadamu kunfuko,hata mzee Machache ni mmoja wao.Pia huko Rwanda kuna mashombe wengi wanawake wa huko huona ufahari kuolewa na wazungu hata kama ni mzungu mlima nyanya.Hata hapa TZ tuna Wanyarwanda wengi mashombe na hata warembo mashombe wenye majina hapa jijini wengi wao ni Wanyarwanda ingawa baadhi hujifanya Wahaya na wengine majina yao huyafanya yote yana asili ya kizungu wanapendwa kuitwa madame.....
 
kati ya rika ambalo halina soko kwenye mapenzi ya wazungu ni wazee na wanene. kama umegundua waafrica wa kike na kiume wanoa na kuolewa na wazee na wanene. mzungu kijana aliyeko kwenye order (meaning hana over weight na maunene ya kijinga) ni nadra kumuoa/kuolewa na mtu mzee au mnene.pia kuna ubaguzi pia linapokuja swala la mzungu kuoa/kuolewa na muafrica ndo maana unaona wale wasio na soko la kupendwa ulaya (wazee na wanene) wanakimbilia kwa waafrica. hili liko wazi asilimia kubwa waafrica wameoa/wameolewa na wazungu wanene au wazee.
 
Utawaweza watutsi kaka?

Nasikia ukioa mtutsi ujue kitabu lazima kisomwe na watutsi wenzake. Hata watoto hutazaa naye kwani wanacheza sana calendar ya uzazi. Hawataki kupoteza au kuchanganya ethnicity.
 


Teh teh teh mfianchi umeua bendi
 
Last edited by a moderator:
Hapa naona tatizo rangi manake tumeshuhudia ndoa nyingi wababa wakioa watoto wanaoweza kuwazaa lkn hakuna shida hasa watani zangu wazaramo mbona hii ipo sana. sasa inapokuja swala la kuolewa na mdhungu maswali yanaanza jmn tubadilike wazungu ni binadamu kama sisi tusiwabague.
 
kuna kiongozi mmoja walimuita Mzee hivihivi,yeye akawajibu kama mimi Mzee muulizeni mke wangu
 
Age is just a number. Muhimu ni kama mwenyewe karidhika na anampenda huyo mzungu wake.
 
Uzee ni suala la kukemea kabisa ushindwe na unyong'onyee!
 
tunamwombea kila heri adumu kama ndoa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…