Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na hawa wengine vipi washaolewa? Kama bado na mimi niokoke...
![]()
Nampongeza sana huyu Dada kupata mume.
Kwanza ni size yake na wamependeza sana.
Huyu anayesema kaolewa na Mzee haiyumkini alimtaka akamkataa.
Na tena si ajabu Binti kuolewa na mme alomzidi umri.
Narudia kukupongeza wewe Dada umepata mume
Pesa ni kila kitu maua pelekea nyuki
Wanawake wa kafrica njaa kali, wakiona ngozi nyeupe lazima aingie mkenge, ukiwa na pesa hata ukiwa ICU unakubalika
Hongera yake,ingawa atakuwa mjane mapema sana kama kapewa umri mrefu!
Tatizo ni nini hapa? Rangi? Umri?
Utawaweza watutsi kaka?
Wanawake wa Kinywaranda hupenda kuolewa na wazee wenye faranga,haijalisha mzungu au mweusi maadamu kunfuko,hata mzee Machache ni mmoja wao.Pia huko Rwanda kuna mashombe wengi wanawake wa huko huona ufahari kuolewa na wazungu hata kama ni mzungu mlima nyanya.Hata hapa TZ tuna Wanyarwanda wengi mashombe na hata warembo mashombe wenye majina hapa jijini wengi wao ni Wanyarwanda ingawa baadhi hujifanya Wahaya na wengine majina yao huyafanya yote yana asili ya kizungu wanapendwa kuitwa madame.....
Mwimbaji wa kwaya ya Ambassadors Christ kaolewa na mzungu mzee. RWANDA
Kwanini ni nadra kuona mzungu kijana kaoa Muafrica?, je ni dharau?
![]()
![]()
![]()
wezi December 2014 utakuwa wa kukumbukwa kwa kwaya maarufu Afrika mashariki na kati ya Ambassadors of Christ kutoka kanisa la Sabato Remera Kigali nchini Rwanda, baada ya kushuhudia waimbaji wake wakongwe wakifunga pingu za maisha kila mtu kwa wakati wake.
Aliyefungua dimba kwa mwezi Disemba 7 ni mwimbishaji wa nyimbo nyingi za kwaya hiyo kijana Jimmy Bizimungu aliyefunga ndoa na mpenziwe na aliyefunga mwaka ni mwanadada Pepe Patience aliyefunga ndoa na mpenzi wake aitwaye Webb (mzungu). Harusi zote zilifanyika jijini Kigali nchini Rwanda huku kwaya ya Kwetu pazuri ikishiriki bega kwa bega na maharusi hao.
ukishajua itakusaidia nini unataka ukaolewe na wewe na mzunguMkuu, maharusi wanaumri gani?