Barakaaaaa & Vigelegeleeee!!!!

Barakaaaaa & Vigelegeleeee!!!!

LiverpoolFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Posts
11,483
Reaction score
3,369
Usiku wa kuamkia leo Member mwenzetu Karachuonyo amepata Baraka ya mtoto wa KIUME ktk hosptali ya Saint Thomas hapa Arusha mjini na Mama na mtoto wanaendelea vizuri kbs! Hongera sana Mr & Mrs Karachuonyo!
 
Mpe mama hongera kwa kujifungua salama na mr. kwa kupata mtotO
 
hongera zao
ni raha na baraka kuwa mzazi
hasa kama umekusudia
 
hizo ni habari njema sana...Mungu amlinde kiumbe wake akue akiwa na afya njema...
 
Hongereni sana...MUNGU awalinde na kuwaongoza katika kipindi chote cha kumlea..
 
Usiku wa kuamkia leo Member mwenzetu Karachuonyo amepata Baraka ya mtoto wa KIUME ktk hosptali ya Saint Thomas hapa Arusha mjini na Mama na mtoto wanaendelea vizuri kbs! Hongera sana Mr & Mrs Karachuonyo!
Wafikishei hongera zao waambie hiyo ni sehemu tu ya majukumu. kazi ndo inaanza sasa
 
Back
Top Bottom