Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Enzi zile tulikuwa tunaiita hii muvi "Damme msalabani"View attachment 442402Hata Van Damme alifungwa msalabani na Cyborg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi zile tulikuwa tunaiita hii muvi "Damme msalabani"View attachment 442402Hata Van Damme alifungwa msalabani na Cyborg
Hebu ni kumbushe Mentor maana siku moja nilipata kuangalia video hii ya anayeitwa yesu na nina kumbuka kulikuwa na watu watatu na mwizi alikuwepo pale kwenye misalaba ...Hivi Eric si alimaanisha yule mwizi amesamehewa?Again, sijaona offence yoyote kwa alichofanya Eric Omondi. Hapo hakuwa na lengo la kuchekesha but kufikisha ujumbe kwa Wakristo wenzake.
Tena kakubwaa sanaHahaaa....ina maana Waslamu akili zao ni fupi na matajiri wa jazba?
Kuna ka ukweli hapo...