Barakadarprince rudi shule.Ya uislamu yanakujaje?

Hapana waislam hatutaki ujinga na imani yetu...upo sawa Baraka hajafanya sawa cheza na vitu vyoooote siyo imani.
 
Again, sijaona offence yoyote kwa alichofanya Eric Omondi. Hapo hakuwa na lengo la kuchekesha but kufikisha ujumbe kwa Wakristo wenzake.
Hebu ni kumbushe Mentor maana siku moja nilipata kuangalia video hii ya anayeitwa yesu na nina kumbuka kulikuwa na watu watatu na mwizi alikuwepo pale kwenye misalaba ...Hivi Eric si alimaanisha yule mwizi amesamehewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…