Barakah Da Prince asusia interview

Barakah Da Prince asusia interview

Msanii wa muziki Barakah Da Prince aliyewahi kutamba na nyimbo kama Siachani nawe, Siwezi na Sometimes, jana ameondoka kwa gadhabu kwenye interview ambayo aliifanya na MJINI TV.

Interview hiyo ni sehemu ya media tour anayoifanya baada ya kuachia wimbo wake mpya kwa jina la Goodbye.

Katika interview hiyo, presenters walimuuliza baraka kuhusiana na nidhamu yake na jinsi mashabiki wa muziki wanavyomchukulia. Mwanzo alieleza kadri ya alivyoweza na kutoa tahadhari kwa presenters wafocus kwenye wimbo wake ambao ndio aim ya interview.

Presenters walikosea zaidi baada ya kurudisha mjadala wa nidhamu kwa kuhusianisha na issue ya alikiba. Baada ya tukio hilo baraka aliamua kuondoka kwenye interview kwa gadhabu kali sana akiwaacha wahusika midomo wazi

Kazi kweli kweli

View attachment 2828001
Aliwajibu swali la nidhamu kwa vitendo, baada ya kuona jibu la maneno halijatosha.
 
Hapo baraka hana kosa sema hizi media zetu zinapenda umbea kuliko kusapoti kazi ya mtu lengo la Baraka nikutaka Ngoma yake ipewe uzito zaidi kuliko mambo yake binafsi
Lakini, ukishakuwa msanii unauza zaidi ya muziki, unauza image, na masuala ya maisha yako, hususan yanayohusiana nankazi yako, mengine yanakuwa ni sehemu ya image unayouza.

Hapo msanii kajionesha anapenda censorship, hataki maswali fulani, na kimsingi kajibu kwamba hana nidhamu kwa vitendo.
 
Alitaka kumfira, huyu dogo akakataa na Kiba akaanza kumpakazia kwa watu ili asitoke.
Hivi ni maagano nini mbona naskia diamond kawala wenzie akiwemo Romy. Pia alikiba unaambiwa hagusi mbele ni jicho tu .Harmonize mpaka leo hasemi tatizo nn ila wajuzi wanasema yale mathreesome yao kuna walakin .rayvan ndo sijamsikia kwa maskendo .

Kama sio hali ya ulimbuken wa mitandao au kuiga mastaa wa nje .Hawa nadhan ni maagano ya kichawi ukimuangalia mboso nae ana walakini kalegea mno ravalava ndo simuelew.
 
😂😂😂😂😂
 
Aseeeee
 
Na wewe kabisa unaamini maneno ya huyo punguani,
Huyo Mondi kamla Romy! Romy si kaka ake au Romy yupi?

Halafu acheni kuwachafua vijana wa watu wapambanaji, nenda kwenye ule uzi wa 'Fantasy' ujionee ndipo urudi kusema mambo za maagano na ujinga ujinga mwengine
 
All in all siwezi kukupinga 💯 maana hata sisi mtaani wenye vi gari vya walau 30m usipoambiwa shoga basi pusha wa unga.nliwah ishi mtaa wa kinondoni studio baada ya kuona mambo sio nkaamua Nile ka mastaz nkapanga mtaan pale.baada ya muda ili nijikimu nkaanza udalali wa magar kutokana na uaminifu nkawa naachiwa magar ya watu nkirudi mtaan skuwa mtu wa kukaa na Rika langu maana wengi watu wa kujadili pombe na mademu.asee mpaka leo pale studio huwa wamenitangaza nauza unga .so kama usemavyo dada tusiwe wepesi kuvamia haya .maana ww unashangaa juu ya kaka yake lakini zilizozagaa ni hata mama yake pia
 
Msanii wa muziki Barakah Da Prince aliyewahi kutamba na nyimbo kama Siachani nawe, Siwezi na Sometimes, jana ameondoka kwa gadhabu kwenye interview ambayo aliifanya na MJINI TV.

Interview hiyo ni sehemu ya media tour anayoifanya baada ya kuachia wimbo wake mpya kwa jina la Goodbye.

Katika interview hiyo, presenters walimuuliza baraka kuhusiana na nidhamu yake na jinsi mashabiki wa muziki wanavyomchukulia. Mwanzo alieleza kadri ya alivyoweza na kutoa tahadhari kwa presenters wafocus kwenye wimbo wake ambao ndio aim ya interview.

Presenters walikosea zaidi baada ya kurudisha mjadala wa nidhamu kwa kuhusianisha na issue ya alikiba. Baada ya tukio hilo baraka aliamua kuondoka kwenye interview kwa gadhabu kali sana akiwaacha wahusika midomo wazi

Kazi kweli kweli

View attachment 2828001
Huyu mtoto hanaga akili.
 
Hivi ni maagano nini mbona naskia diamond kawala wenzie akiwemo Romy. Pia alikiba unaambiwa hagusi mbele ni jicho tu .Harmonize mpaka leo hasemi tatizo nn ila wajuzi wanasema yale mathreesome yao kuna walakin .rayvan ndo sijamsikia kwa maskendo .

Kama sio hali ya ulimbuken wa mitandao au kuiga mastaa wa nje .Hawa nadhan ni maagano ya kichawi ukimuangalia mboso nae ana walakini kalegea mno ravalava ndo simuelew.
Kwamba wanayooshana

Sent from my SM-N975U using JamiiForums mobile app
 
All in all siwezi kukupinga [emoji817] maana hata sisi mtaani wenye vi gari vya walau 30m usipoambiwa shoga basi pusha wa unga.nliwah ishi mtaa wa kinondoni studio baada ya kuona mambo sio nkaamua Nile ka mastaz nkapanga mtaan pale.baada ya muda ili nijikimu nkaanza udalali wa magar kutokana na uaminifu nkawa naachiwa magar ya watu nkirudi mtaan skuwa mtu wa kukaa na Rika langu maana wengi watu wa kujadili pombe na mademu.asee mpaka leo pale studio huwa wamenitangaza nauza unga .so kama usemavyo dada tusiwe wepesi kuvamia haya .maana ww unashangaa juu ya kaka yake lakini zilizozagaa ni hata mama yake pia
Inaoenekana ww ni falali wa magari.Nitafutie gari la Mil 3
 
Back
Top Bottom