Barakah Da Prince asusia interview

Barakah Da Prince asusia interview

Hivi ni maagano nini mbona naskia diamond kawala wenzie akiwemo Romy. Pia alikiba unaambiwa hagusi mbele ni jicho tu .Harmonize mpaka leo hasemi tatizo nn ila wajuzi wanasema yale mathreesome yao kuna walakin .rayvan ndo sijamsikia kwa maskendo .

Kama sio hali ya ulimbuken wa mitandao au kuiga mastaa wa nje .Hawa nadhan ni maagano ya kichawi ukimuangalia mboso nae ana walakini kalegea mno ravalava ndo simuelew.
Itakuwa hivyo tu maana watu washaanza kupakazia huku mitaani kuwa Mbosso vocha yake ya tigo inakwanguliwa sana na Diamond kujaza bando kunako chembani kiasi kwamba mpaka dogo kalegea kinoma.
 
Hivi ni maagano nini mbona naskia diamond kawala wenzie akiwemo Romy. Pia alikiba unaambiwa hagusi mbele ni jicho tu .Harmonize mpaka leo hasemi tatizo nn ila wajuzi wanasema yale mathreesome yao kuna walakin .rayvan ndo sijamsikia kwa maskendo .

Kama sio hali ya ulimbuken wa mitandao au kuiga mastaa wa nje .Hawa nadhan ni maagano ya kichawi ukimuangalia mboso nae ana walakini kalegea mno ravalava ndo simuelew.
Apo kwa kiba ni kweli yani jamaa akienda na demu hotel au nyumbani kwake ni lazima aliwe jicho yani ndio yupo ivyo
 
Msanii wa muziki Barakah Da Prince aliyewahi kutamba na nyimbo kama Siachani nawe, Siwezi na Sometimes, jana ameondoka kwa gadhabu kwenye interview ambayo aliifanya na MJINI TV.

Interview hiyo ni sehemu ya media tour anayoifanya baada ya kuachia wimbo wake mpya kwa jina la Goodbye.

Katika interview hiyo, presenters walimuuliza baraka kuhusiana na nidhamu yake na jinsi mashabiki wa muziki wanavyomchukulia. Mwanzo alieleza kadri ya alivyoweza na kutoa tahadhari kwa presenters wafocus kwenye wimbo wake ambao ndio aim ya interview.

Presenters walikosea zaidi baada ya kurudisha mjadala wa nidhamu kwa kuhusianisha na issue ya alikiba. Baada ya tukio hilo baraka aliamua kuondoka kwenye interview kwa gadhabu kali sana akiwaacha wahusika midomo wazi

Kazi kweli kweli

View attachment 2828001
Anamsusia nani? Ndio maana kapotea kwenye game
 
Mauganga yao na masgarti.....khaaa Ali Kiba nae ana kashfa sana kuwaf.
.....wanaume wenzake mbayaaaa
 
Somo kubwa walevi wenzangu hapa ni kuwa wakitulilia shida tuwajibu hatuna kitu FULLSTOP na kamwe tusiwanunulie bia maana kumbe wanageuka kuwa wake zetu kwa kukagua kama kweli hatuna hizo hela.nyima bia pia
 
Video is where of baraka going fast-fast in the door of studio when people of studio asking baraka about discipline of him?

Video is where I ask?
Serikali ikazie hapo hapo
No Banga smokaz😅
 
Huyu mbuzi anajionaga mbuzi kinoma,Anyway Kuna wasanii wawili bongo ambao walishawahi ninyoosha kwenye interview,yupo huyu na Kiba yaani wanaweza kukuumbua hewani ukiwahoji pumba au wasichotaka kusikia.
Umemsahau T.I.D wakujiiita TOP IN DAR anakushushua anakwambia kwanza mtangazaji unanuka mdomo,unamrushia mate,what the helll men usinisogeleeee hebu ushanijambiaaa
 
Back
Top Bottom