Barakah Da Prince asusia interview

Barakah Da Prince asusia interview

Nlishaacha zilikuwa hustle za kutafuta mtaji .ila kwa hela hiyo ongeza iwe nne nenda kawape ofa madalali wa pale mwenge kwa kakobe kwa chini.carina namba b unapata
inakua haina shida kabisaaa au ndio siku moja uraina mwezi gereji,masaa ma 3 uraia wiki kwa fundi
 
inakua haina shida kabisaaa au ndio siku moja uraina mwezi gereji,masaa ma 3 uraia wiki kwa fundi
Mkuu acha uvivu nimekuletea demu chumbani unataka nikusaidie kumvua nguo? Tafuta fundi rafiki yako nenda nae
 
Kipo kitu kati ya aliyekuwa mke mtarajiwa wa Baraka(Najma) na Ali
Kiba nuksi sana yule kijana[emoji1]
 
Hivi ni maagano nini mbona naskia diamond kawala wenzie akiwemo Romy. Pia alikiba unaambiwa hagusi mbele ni jicho tu .Harmonize mpaka leo hasemi tatizo nn ila wajuzi wanasema yale mathreesome yao kuna walakin .rayvan ndo sijamsikia kwa maskendo .

Kama sio hali ya ulimbuken wa mitandao au kuiga mastaa wa nje .Hawa nadhan ni maagano ya kichawi ukimuangalia mboso nae ana walakini kalegea mno ravalava ndo simuelew.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Waadhishi wengi niwadaku na wachochezi...wanauliza maswali ili ujikanganye kwenye kujibu uendeleze bifu za wasanii...kwny interview ya baraka alikiba anahusikaje?
 
Back
Top Bottom