Barakoa yanizidizishia gharama za kunyoa ndevu zinaota kwa haraka sana

Barakoa yanizidizishia gharama za kunyoa ndevu zinaota kwa haraka sana

RAKI BIG

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
394
Reaction score
456
Habari wakuu.

Sasa nanyoa ndevu mara 2 kwa week wakuu yaani barakoa imekuwa tabu kweli kwangu.

Wenye ndevu wenzangu hali ipoje kwenye hili?
 
Nunua mashine ndogo ya kunyolea elf 8 tu.. mimi mwaka wa 2 huu naitumia haijaharibika.. hela za kunyoa ndevu nimesahau. Na kunyoa ni chap tena bila kuacha mapele.
 
Nunua mashine ndogo ya kunyolea elf 8 tu.. mimi mwaka wa 2 huu naitumia haijaharibika.. hela za kunyoa ndevu nimesahau. Na kunyoa vuzi ni chap tena bila kuacha mapele.
dah bora unapicha yake iyo mashine uitume niione aise.
 
dah bora unapicha yake iyo mashine uitume niione aise.
20200527_103254.jpg
 
Nunua mashine zipo kuanzia 300,000 mpaka 10,000 ni uwezo wako tu. Kama unaenda kunyoa kwenye barbershop mara 2 kwa wiki bora tu hata iyo barakoa uache kuivaa. Unachokitumia kukukinga ndio kinakupeleka huko huko mdomoni kwa wadudu.
 
Mkuu umenifumbua macho, na mimi jana nimejiuliza mbona mandevu yanajaa jaa kizembe hivi kila siku mbili . Kumbe itakuwa ni hii barakoa ya kitenge
 
Mkuu umenifumbua macho, na mimi jana nimejiuliza mbona mandevu yanajaa jaa kizembe hivi kila siku mbili . Kumbe itakuwa ni hii barakoa ya kitenge
hahaha pole mkuu yan unajikuta unamidevu mingi inakua kiholela
 
Nina miaka minne sijaenda saloon huwa naji ganga kuanzia kichwani mpaka kwenye kichwa kidogo
 
Habari wakuu.

Sasa nanyoa ndevu mara 2 kwa week wakuu yaani barakoa imekuwa tabu kweli kwangu.

Wenye ndevu wenzangu hali ipoje kwenye hili?
Mara mbili kwa wiki unaona shida? Mi nanyoa kila siku. Ila nina mashine yangu nyumbani. Yaani napenda kidevu changu nikishika nisisikie kitu kinachomachoma. Kitu soft kabisa
 
Mara mbili kwa wiki unaona shida? Mi nanyoa kila siku. Ila nina mashine yangu nyumbani. Yaani napenda kidevu changu nikishika nisisikie kitu kinachomachoma. Kitu soft kabisa
hahaha kwaio unakikwangua kama mtt vile
 
Hatari! Na kadri unavyotoa hewa nje kupitia pua na mdomo ikachanganyika na jasho la 'midevu' ndivyo barakoa inavyozidi kuwa na harufu mbaya.
 
Back
Top Bottom