Barakoa yanizidizishia gharama za kunyoa ndevu zinaota kwa haraka sana

Barakoa yanizidizishia gharama za kunyoa ndevu zinaota kwa haraka sana

Mara mbili kwa wiki unaona shida? Mi nanyoa kila siku. Ila nina mashine yangu nyumbani. Yaani napenda kidevu changu nikishika nisisikie kitu kinachomachoma. Kitu soft kabisa
Ila naskia ukinyoa mara kwa mara kakidevu kanakomaa Kama goti la nungunungu.... Ni kweli?...
 
Ila naskia ukinyoa mara kwa mara kakidevu kanakomaa Kama goti la nungunungu.... Ni kweli?...
Siyo kweli. Labda kama unatumia nyembe zenye viwango vya chini.Kama huna mashine ya kunyolea ya umeme ni bora ukatumia hizi nyembe za kisasa kama Gillette Mach3. Ni nzuri sana, maana wanaweka na vilainishi. (Lubrication strip)
 
Back
Top Bottom