Ila naskia ukinyoa mara kwa mara kakidevu kanakomaa Kama goti la nungunungu.... Ni kweli?...Mara mbili kwa wiki unaona shida? Mi nanyoa kila siku. Ila nina mashine yangu nyumbani. Yaani napenda kidevu changu nikishika nisisikie kitu kinachomachoma. Kitu soft kabisa
Hapo sawahopstal mkuu
Yaani kama cha mtoto. Tofauti yangu na mtoto ni kwamba changu kinaonyesha kukomaa. Ningepata dawa ya kupaka ili ndevu zikawie kuota japo kwa wiki moja ningefurahi sana.hahaha kwaio unakikwangua kama mtt vile
Siyo kweli. Labda kama unatumia nyembe zenye viwango vya chini.Kama huna mashine ya kunyolea ya umeme ni bora ukatumia hizi nyembe za kisasa kama Gillette Mach3. Ni nzuri sana, maana wanaweka na vilainishi. (Lubrication strip)Ila naskia ukinyoa mara kwa mara kakidevu kanakomaa Kama goti la nungunungu.... Ni kweli?...
Hicho kidevu kitakomaa sana!Yaani kama cha mtoto. Tofauti yangu na mtoto ni kwamba changu kinaonyesha kukomaa. Ningepata dawa ya kupaka ili ndevu zikawie kuota japo kwa wiki moja ningefurahi sana.
Wala hakijakomaa kiko vizuri tu.
Hicho kidevu kitakomaa sana!