Tripo9 JF-Expert Member Joined Sep 9, 2009 Posts 4,357 Reaction score 3,550 May 7, 2020 #1 Bongo nyoso sana Your browser is not able to display this video.
Youngblood JF-Expert Member Joined Aug 1, 2014 Posts 19,433 Reaction score 56,810 May 7, 2020 #2 Hatari sana
kichomiz JF-Expert Member Joined Feb 28, 2011 Posts 19,257 Reaction score 12,244 May 8, 2020 #4 Tunaipongeza sana awamu ya tano kwa kweli
Slowly JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 10,589 Reaction score 35,268 May 8, 2020 #5 Hii barakoa nimeielewa
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 May 9, 2020 #6 Huyo kwenye videoclip anaisambaza kwa nguvu zote Hawa ndio kama wale waliopata ukimwi na kusema ntaondoka na wengi Sent from my iPhone using Tapatalk
Huyo kwenye videoclip anaisambaza kwa nguvu zote Hawa ndio kama wale waliopata ukimwi na kusema ntaondoka na wengi Sent from my iPhone using Tapatalk
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 49,759 Reaction score 118,798 May 10, 2020 #7 Duuh!! Nadhani elimu zaidi inahitajika hapo kwani achilia huyo anayejaribu jaribu wapo ambao wananunua na kuvaa muda huo huo. Hatari sana aisee.
Duuh!! Nadhani elimu zaidi inahitajika hapo kwani achilia huyo anayejaribu jaribu wapo ambao wananunua na kuvaa muda huo huo. Hatari sana aisee.