Ngonidema
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,720
- 2,688
Wauzaji wa vifaa vya kujinginga na gojwa hatari la covid 19, wamepandisha bei za barakoa (mask) zile zilizokuwa zinauzwa shiling 1000 /= zimepandishwa kwa sasa ni elfu tatu (3000/=), ukiwauliza wanasema na wao wapandishiwa kodi na serikali, kama ni kweli serikali mna nia gani na watanzani?