Comments reserved till monday the 1st of Nov
hata mkapa alishinda kwa 60% mwaka 1995 na baraza la mawaziri lote lilitokana na ccm na katiba ya nchi inaruhusu hivyo! Kuhusu baraza la mawaziri mimi ningemshauri jk asiwarudishe uwazirini wale wote waliohusika na kashfa mbalimbali aidha ingekuwa ni kwa maslahi ya taifa kama jk akawaingiza profesa lipumba na dr.slaa ktk baraza lake la mawaziri!

Hakuna ushindi kwa thithiem! Watanzania tumechoshwa na usanii, labda wasubiri 2015.
hata mkapa alishinda kwa 60% mwaka 1995 na baraza la mawaziri lote lilitokana na ccm na katiba ya nchi inaruhusu hivyo! Kuhusu baraza la mawaziri mimi ningemshauri jk asiwarudishe uwazirini wale wote waliohusika na kashfa mbalimbali aidha ingekuwa ni kwa maslahi ya taifa kama jk akawaingiza profesa lipumba na dr.slaa ktk baraza lake la mawaziri!
Keshataja na 60. Kwa kura za Tunduma. Voters papers found in a truck ambayo badae waliificha. Wakatuonyesha vipodozi.
Kaka, bila hila zenu za sisiem, hamtashinda
Wana JF,
Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??
Je nani atarudi na nani ata panda?
Mafisadi au viongozi walio kumbwa na kashfa ya UFISADI/MATUMIZI MABAYA YA OFFICE watarudishwa kwenye post katika taasisi mbali mbali au Uwazirir??
Eg EL, Vijisent?
Hahahahah hutaki kuingia kichwa kichwa :whoo:
Na hizi ahadi zisizotekelezeka anazotoa Mkuu wa Nchi mwaka huu ndio zinaiweka CCM katika hali ngumu zaidi mwaka 2015.
CCM will no more be in the election 2015 my buddy, watakuwa wameisha poteza mwelekeo kabisa 2015 kwa hali kama nilio iona leo nilipo fika arusha kwa viwanja vya NMC CCM wanahaja ya kujipanga upya la sivyo hataichungulia 2015 tuu