Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015

Elections 2010 Baraza jipya la mawaziri 2010/2015



CCM will no more be in the election 2015 my buddy, watakuwa wameisha poteza mwelekeo kabisa 2015 kwa hali kama nilio iona leo nilipo fika arusha kwa viwanja vya NMC CCM wanahaja ya kujipanga upya la sivyo hataichungulia 2015 tuu


Duh! Mimi nilifikiri mwisho wa CCM ulikuwa Oktoba 31, 2010. Sasa tarehe ya mwisho wa CCM imesogezwa mbele kwa miaka 5! Ikifika 2015, tutaambiwa 2020. Na ikifika 2020 tutaambiwa 2025. Mwishowe Silaa atakuwa kibuda hata nguvu ya kuongea atakuwa hana na wengine humu tutakuwa tushatangulia mbele ya haki na wengine wajinga wengine watakuja na kelele za Pipoooozzzz Paaawwwaaaa!!!! :tape:
 
Jamani sherehe ya kumuapisha silaa lini? Teh teh teh!!!!!!
 
Kwa JK anao uwezo wa kuwaweka wapinzani katika baraza lake la mawaziri. kumbuka hata muafaka wa zanzibar alikuwa anataka uishie kwenye vikao vya bagamoyo kabla ya zanziba LAKINI tatizo wenye chama chao (KINANA, KINGUNGE, MAKAMBA nk) Hawatamkubalia akitaka ahame akaanzishe chama chake.

Tatizo sio JK tatizo wamiliki wa CCM!!!!!


BUT JK OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!

Ukiuliza hao wamiliki wana maslahi ya milele au ?? utajibiwa sijui upuuzi gani yaani ni kero kweli.

Kwanini JK asibadilike akwa David Mwanawas Former President of Zambia yaani iwe mbwai mbwai tuuu

 
Duh! Mimi nilifikiri mwisho wa CCM ulikuwa Oktoba 31, 2010. Sasa tarehe ya mwisho wa CCM imesogezwa mbele kwa miaka 5! Ikifika 2015, tutaambiwa 2020. Na ikifika 2020 tutaambiwa 2025. Mwishowe Silaa atakuwa kibuda hata nguvu ya kuongea atakuwa hana na wengine humu tutakuwa tushatangulia mbele ya haki na wengine wajinga wengine watakuja na kelele za Pipoooozzzz Paaawwwaaaa!!!! :tape:

Nilesema kufikia huo mwaka itakuwa haipo wenzetu wa upinzani wajuwa walikumbwa na mapungufu fulani fulani ambayo najua fika watajipanga upya tuu sasa kwa Jaamaa zangu CCM hapo 2012 kuna uchaguzi wa ndani wa kwao ndipo watakapo malizia kwa 70% kama hali hii yao ya ajabu na tamaa za kubweteka kwenye madaraka badala ya kuwaachia vijana wasomi wakiongoze chama wao wanataka kuzeekea humo Khaa inamauzdhi hiyo hali

 
😛eace:😛eace:


Mkuu lets think kwa kile kijacho wewe na mi twajua fika JK atarudi kuwa Rais tukubali tuuu hata mie nilipenda kuwepo na mabadiliko lakini kwa kuangalia upepo JK atakuwa Rais kwa muhula huu wa mwisho.

Je we wadhania mawziri gani watapanda na nani ataporomoka? Mtazamo wako unakuwaje hapo kwa baraza la mawaziri wake??

 
CONFIRMED.. THIS IS THE NEW JK LINEUP FOR 2010/2015

waziri mkuu: MIZENGO PINDA
waziri wa mambo ya ndani: AMOS MAKALLA
waziri wa ulinzi; HUSSEIN MWINYI
waziri wa fedha: MARY NAGU/ MKULLO
waziri wa michezo, utamaduni: JUMA NKAMIA
waziri wa maji na umwagiliaji: PETER SERUKAMBA
wizaraya miundombinu: JOB NDUNGAI
wizara ya wanawake: LUCY MAYENGA
wizara ya TAMISEMI: RUCY NKYA
wizara ya afya na chakula: MATHAYO DAVID
wizara ya habari: SAID MTANDA
wizara ya kuharamisha rushwa: ROSTAM AZIZ
waziri wa ngono: MAKONGORO MAHANGA
waziri wa pombe na starehe: SALEH PAMBA
waziri wa utawala bora; JANUARY MAKAMBA
waziri wa bunge: ANNE MAKINDA
spika: SAMUEL SITTA/ LOWASSA
naibu spika: JUMANNE MAGEMBE..... MINISTRIES MORE COMING
 
Kama kweli kikwete kashinda kwa uhalali na yupo kwa ajiri ya watanzania wote 2namwomba katiba mpya kwa sababu matatizo ya umaskini we2 wa kipato na fikra upo kwenye katiba. 'Mfano hauwezi kurusu wa2 wasiojuasoma, hawajui hata mgombea mmoja kutuchagulia viogozi wa taifa 2nalotaka maendeleo ya kweli.'
 
..Mambo ya Nje -- January Makamba

..Mambo ya Ndani -- Benard Membe

..Fedha -- Mustafa Mkulo
 
hata mkapa alishinda kwa 60% mwaka 1995 na baraza la mawaziri lote lilitokana na ccm na katiba ya nchi inaruhusu hivyo! Kuhusu baraza la mawaziri mimi ningemshauri jk asiwarudishe uwazirini wale wote waliohusika na kashfa mbalimbali aidha ingekuwa ni kwa maslahi ya taifa kama jk akawaingiza profesa lipumba na dr.slaa ktk baraza lake la mawaziri!
jua litachomoza kaskazini kwenda kusini apo
 
Lau Masha - Mbunge wa kuteuliwa - Madini

Andrew Chenge - Miundo Mbinu

Basil Mramba - kuteuliwa - MAMBO YA NDANI

Msijisikie ovyo, Tanzania ni Nchi ya amani na Upendo:smile:
 
Back
Top Bottom