Kudadeki
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 859
- 52
CCM will no more be in the election 2015 my buddy, watakuwa wameisha poteza mwelekeo kabisa 2015 kwa hali kama nilio iona leo nilipo fika arusha kwa viwanja vya NMC CCM wanahaja ya kujipanga upya la sivyo hataichungulia 2015 tuu
Duh! Mimi nilifikiri mwisho wa CCM ulikuwa Oktoba 31, 2010. Sasa tarehe ya mwisho wa CCM imesogezwa mbele kwa miaka 5! Ikifika 2015, tutaambiwa 2020. Na ikifika 2020 tutaambiwa 2025. Mwishowe Silaa atakuwa kibuda hata nguvu ya kuongea atakuwa hana na wengine humu tutakuwa tushatangulia mbele ya haki na wengine wajinga wengine watakuja na kelele za Pipoooozzzz Paaawwwaaaa!!!! :tape: