tigo mkubwa wee!!!!
tigo mkubwa wee!!!!
jamani jamani..!!tigo mkubwa wee!!!!
Na hizi ahadi zisizotekelezeka anazotoa Mkuu wa Nchi mwaka huu ndio zinaiweka CCM katika hali ngumu zaidi mwaka 2015.
Mkuu lets think kwa kile kijacho wewe na mi twajua fika JK atarudi kuwa Rais tukubali tuuu hata mie nilipenda kuwepo na mabadiliko lakini kwa kuangalia upepo JK atakuwa Rais kwa muhula huu wa mwisho.
Je we wadhania mawziri gani watapanda na nani ataporomoka? Mtazamo wako unakuwaje hapo kwa baraza la mawaziri wake??
Mkuu,hizo ndizo fikra ambazo tumekuwa tukizipinga kwa muda mrefu,kuwa hata iweje lazima ccm ishinde.Fikra hizo zimekuwa zikiwavunja watu moyo wasiende kupiga kura maana wanaona ni kupoteza muda.Mwaka huu watu wamepata tumaini jipya na kupata mwamko wa kupiga kura,na wanamwamko wa kuzilinda,siwezi sema nani atashinda,je kuna mbinu za kuiba kura?Labda zipo...lakini mwaka huu watu wamejipanga kulinda kadili iwezekanavyo.Litakalotokea litokee ila tutakuwa tumefanya sehemu yetu.Akishinda Slaa au JK yote ni matokeo.
Kwa hiyo kama bado unafikra za lazima ccm washinde bakia nazo mwenyewe,usiteme sumu kwa wale walioamka.Maana hata Campaign manager wa ccm kasema ushindi si lazima.
sija kataaa!!
Ila kila vita kila mwanajeshi anatarajia kushinda hilo jua kwanza, Twahitaji mabadiliko ya pammoja na haya twahitaji sie watz tuijue democrasia vyema na kujua katiba yetu inasemaje na hapo ndipo waTZ wataanza kuamka kabisa na kujua fika we need change seriously lakini hapa watz ni watu wa kuitikia tu na kupuuzia sana ila siku wakigundu walipoteza muda huko nyuma khaaa watajutia sana, na ndio maana matumaini yangu makubwa yanameanza sasa na kuwa na uhakika 2015 kutakuwa na change kubwa sana hapa TZ
hivi ni mji gani dunniani hauna maeneo ya wazi,sehemu zote zimeuzwa na maafisa Ardhi wanaoitwa wateule.Njooni muone Arusha USA River hata barabara zinauzwa
Tatizo la Huo mji wenu Arusha mlibweteka sana na kujisahau kuwa mji wowote utakao maendeleo watakiwa kuwa na Mipangilio ya kimji ili ukuwe vyema sasa tatizo la hapo ni wenyeji walikalia Aridhi muda mrefu mpaka sasa na wanauza kwa watu bei ghari
Pili Manispaa yenu haina watu makini wote ni wanakuja kuchuma na wajanja wachache wa mji huo mji hauna barabara jamani na bado mwataka kuliita JIJI khaaaa. na kila mwaka mtakuwa mwaambiwa limekuwa JIJI na baaadae halina hadhi ya kuitwa JIJI mwatolewa kwa orodha ya JIJI huo ndio utakao kuwa mpira wenu huo usio isha kamwe.
Wana JF,
Kutokana na kuwa JK atashinda kwa asilimia kama 60% hivi, Je baraza lake la mawziri atalifanya la mchanganyiko na upinzani au ni wana CCM wata tawala safu zote za wizara??
Je nani atarudi na nani ata panda?
Mafisadi au viongozi walio kumbwa na kashfa ya UFISADI/MATUMIZI MABAYA YA OFFICE watarudishwa kwenye post katika taasisi mbali mbali au Uwazirir??
Eg EL, Vijisent?
Waziri mkuu ni Freeman Mbowe!