Mpita Njia JF-Expert Member Joined Mar 3, 2008 Posts 6,997 Reaction score 1,172 Apr 13, 2008 #281 Inamuwea vigumu mzee kuchukua hatua kwa sababu na yeye yupo kwenye wavu huo wa ufisadi, iwapo ataamua kuchukua hatua anaweza kujikuta na yeye anaondoka au anawaondoa wote na kubakia peke yake, hatasimama na kudumu katika mazingira hayo
Inamuwea vigumu mzee kuchukua hatua kwa sababu na yeye yupo kwenye wavu huo wa ufisadi, iwapo ataamua kuchukua hatua anaweza kujikuta na yeye anaondoka au anawaondoa wote na kubakia peke yake, hatasimama na kudumu katika mazingira hayo