kwa kweli Nimekaribia kuzimia kwa Furaha kwa Msolla kukaa mbali na Elimu ya juu.Pia waziri mwenye kiburi na fisadi Basil Mramba kutupwa nje.Now it is a good move.JK hapo umefanya kazi ingawa pia umechemka baadhi ya wizara fulani hivi
BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI NI:
6. WIZARA YA TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA STEVEN WASIRA na SELINA KOMBANI
10. ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI PROFESA JUMANNE MAGHEMBE NAIBU GAUDENSIA KABAKA na MWANTUMU MAHIZA
17. WIZARA YA KILIMO NA CHAKULA MSOLA NAIBU MATHAYO DAVID MATHAYO
19. WIZARA YA UVUVI NA MIFUGO JOHN POMBE MAGHUFULI NA MANAIBU NI
WANYANCHA
May be skendo ya IPTL ambayo JK inasemekana alikuwa waziri wa Nishati Chenge alikuwa ni mwanasheria mkuu na alimsaidia.
Nchibi yeye inasemekana ni mkurugenzi wa ufundi (Uchawi) wa JK!!!!
jana nilipata matumaini baada ya kusoma post ya mwanakijiji kwamba cabinet mpya itakuwa like special forces (SEAL,etc).In military context,hawa sio hata jeshi la mgambo bali ni mithili ya mungiki huko kenya.only hope inabaki kwa kilango,dr chegeni,seleli,simbachawene,etc wakaze buti wakati wa mjadala wa BOT/EPA ili HATIMAYE CHENGE ALAZIMIKE KUJIUZULU MWENYEWE maana JK Hana ubavu wa kumtoa msiri wake.
PS: Inaonekana JK hata hakuwahi kusoma report ya kile kilicholetekeza wizara ya elimu na elimu ya juu kutenganishwa. Angesoma hata utangulizi wake tu asingezirudisha wizara hizi kuwa pamoja hasa kwa kipindi hiki ambako mahitaji na matakwa ya wizara hizi hayashabihiani.
Updated list
Baraza jipya la mawaziri ni kama lifuatalo:
1. Ofisi ya Rais (Utawala Bora)-Sofia Simba
2. Ofisi ya rais (Menejimenti ya Umma)-Hawa Ghasia
3. Wizara ya Shughuli za Muungano-Mohamed Seif Khatib
4. Wizara ya Mazingira- Dr. Batilda Buriani
5. Wizara ya Maliasili na Utalii- Shamsa Mwangunga
6. Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Sera na Uratibu wa Bunge)- Philip Marmo
7. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Steven Wassira
8. Wizara ya Fedha-Mustafa Mkullo
9. Wizara ya Afya -Profesa David Mwakyusa
10. Wizara ya Ardhi- John Chiligati
11. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi- Prof. Jumanne Maghembe
12. Wizara ya Sayansi na Teknolojia Dr Shukuru Kawamba
13. Wizara ya Miundombinu- Andrew Chenge
14. Wizara ya Utamaduni na Michezo- George Mkuchika
15. Wizara ya Kazi na Ajira- Prof. Juma Kapuya
16. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Prof. Mark Mwandosya
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Peter Msolla
18. Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Margareth Sitta
19. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - John Magufuli
20. Wizara ya Mambo ya Ndani- Lawrence Masha
21. Wizara ya Mambo ya Nje-Bernard Membe
22. Wizara ya Nishati na Madini-William Ngeleja
23. Wizara ya Sheria -Martin Chikawe
24. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Dr Hussein Mwinyi
25. Wizara ya Afrika Mashariki Dr. D. Kamala
26. Wizara ya Biashara na Masoko-Dr Mary Nagu
Deputy Ministers
1. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi-Gaudensia Kabaka na Mwatumu Mahiza
2. Wizara ya Kazi na Ajira- Hezekia Chibulunje
3. Wizara ya Biashara na Masoko -Cyril Chami
4. Wizara ya Fedha- Jeremiah Sumari na Omari Yusuf Mzee
5. Wizara ya Afya- Aisha Kigoda
6. Wizara ya Sayansi na Teknolojia Dr Maua Daftari
7. Wizara ya Miundombinu- Dr. Makongoro Mahanga
8. Wizara ya Utamaduni na Michezo- Joel Bendera
9. Wizara ya Maji na Umwagiliaji- Christopher Chiza
10. Wizara ya mendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto- Dr Lucy Nkya
11. Wizara ya Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi - Dr Joseph Wanyancha
12. Wizara ya Maliasili na Utalii -Ezekiel Maige
13. Wizara ya Mambo ya Ndani- Hamisi Kagasheki
14. Wizara ya Mambo ya Nje-Balozi Seif Ali Iddi
15. Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa- Emannuel Nchimbi
16. Wizara ya Nishati na Madini-Adam Malima
17. Wizara ya Kilimo, Chakula na Ushirika- Mathayo David Mathayo
18. Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa- Celina Kombani

Mzee Mwanakijiji;140769]Ifuatayo ndiyo orodha sahihi ya Baraza la Mawaziri na Majina Sahihi ya Wizara zao.
4. WIZARA YA UTALII NA MAZINGIRA DK. BATILDA BURIANI
19. MALIASILI NA UTALII WAZIRI NI SHAMSA MWANGUGA NAIBU EZEKIEL MAIGE