nnaanzisha thread hii kwa lengo la kufanya utafiti wa wizara zipi zitaunganishwa na kuangalia ni kwa nn zimeunganishwa na mawaziri wapi wamebakia na kwa nn?
na mengi ambayo yatahitaji kuyajadili kuhusu baraza hili la zamani na baraza?
Ukiwaondoa Dk. Msabaha, Karamagi ambao walijiuzulu; Pinda ambaye sasa ni Waziri Mkuu,
mawaziri kamili katika Serikali iliyopita walikuwa ni
1.Kingunge Ngombale-Mwiru (Ofisi ya Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii),
2. Philip Marmo (Ofisi ya Rais, Utawala Bora),
3. Dk. Batilda Burian (Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge),
4. Dk. Hussein Mwinyi (Ofisi ya Makamu wa Rais -Muungano),
5. Profesa Mark Mwandosya (Ofisi ya Makamu wa Rais -Mazingira),
6. Muhammed Seif Khatib (Habari, Utamaduni na Michezo),
7. Zakia Meghji (Fedha),
8. Bakari Mwapachu (Usalama wa Raia),
9. Profesa Juma Kapuya (Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa)
10. Dk. Mary Nagu (Katiba na Sheria).
11. John Magufuli (Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi)
12. Basil Mramba (Viwanda, Biashara na Masoko)
13. Joseph Mungai (Mambo ya Ndani),
14. Bernard Membe (Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)
15. Dk. Juma Ngasongwa (Mipango, Uchumi na UwezeshaAjira nji)
16. Andrew Chenge (Miundombinu)
17. John Chiligati (Kazi, a Maendeleo ya Vijana)
18. Anthony Diallo (Maendeleo ya Mifugo)
19. Margaret Sitta (Elimu na Mafunzo ya Ufundi)
20. Profesa Peter Msola (Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
21. Stephen Wassira (Kilimo na Ushirika)
22. Profesa David Mwakyusa (Afya na Ustawi wa Jamii).
23. Profesa Jumanne Maghembe (Maliasili na Utalii)
24. Dk. Shukuru Kawambwa (Maji)
25. Sophia Simba (Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto)
26. Hawa Ghasia (Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma).
Ukiwaondoa Dk. Msabaha, Karamagi ambao walijiuzulu; Pinda ambaye sasa ni Waziri Mkuu,
mawaziri kamili katika Serikali iliyopita walikuwa ni
1. Kingunge Ngombale-Mwiru (Ofisi ya Rais Siasa na Uhusiano wa Jamii),
2. Philip Marmo (Ofisi ya Rais, Utawala Bora),
3. Dk. Batilda Burian (Ofisi ya Waziri Mkuu- Bunge),
4. Dk. Hussein Mwinyi (Ofisi ya Makamu wa Rais -Muungano),
5. Profesa Mark Mwandosya (Ofisi ya Makamu wa Rais -Mazingira),
6. Muhammed Seif Khatib (Habari, Utamaduni na Michezo),
7. Zakia Meghji (Fedha),
8. Bakari Mwapachu (Usalama wa Raia),
9. Profesa Juma Kapuya (Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa)
10. Dk. Mary Nagu (Katiba na Sheria).
11. John Magufuli (Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi)
12. Basil Mramba (Viwanda, Biashara na Masoko)
13. Joseph Mungai (Mambo ya Ndani),
14. Bernard Membe (Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)
15. Dk. Juma Ngasongwa (Mipango, Uchumi na UwezeshaAjira nji)
16. Andrew Chenge (Miundombinu)
17. John Chiligati (Kazi, a Maendeleo ya Vijana)
18. Anthony Diallo (Maendeleo ya Mifugo)
19. Margaret Sitta (Elimu na Mafunzo ya Ufundi)
20. Profesa Peter Msola (Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
21. Stephen Wassira (Kilimo na Ushirika)
22. Profesa David Mwakyusa (Afya na Ustawi wa Jamii).
23. Profesa Jumanne Maghembe (Maliasili na Utalii)
24. Dk. Shukuru Kawambwa (Maji)
25. Sophia Simba (Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto)
26. Hawa Ghasia (Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma).
Naibu Mawaziri walikuwa ni
27. Dk. Maua Daftari (Miundombinu)
28. Abdisalaam Issa Khatib (Fedha)
29. Zabein Mhita (Maliasili na Utalii)
30. Hezekiah Chibulunje (Viwanda, Biashara na Masoko)
31. Rita Mlaki (Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi)
32. Dk. Emmanuel Nchimbi (Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana)
33. Balozi Seif Ali Iddi (Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)
34. Mathias Chikawe (Katiba na Sheria).
Mwantumu Mahiza (Elimu na Mafunzo ya Ufundi)
35. Dk. Cyril Chami (Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa)
36. Dk. Lucas Siyame (Ofisi ya Waziri Mkuu-Maafa na Kampeni dhidi ya Ukimwi)
37. marehemu Salome Mbatia (Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto)
38. Dk. Diodorus Kamala (Ushirikiano wa Afrika Mashariki)
39. Dk. Milton Mahanga (Miundombinu),
40. Shamsa Mwangunga (Maji)
41. Dk. Aisha Kigoda (Afya na Ustawi wa Jamii)
42. Ludovic Mwananzila (Elimu na Mafunzo ya Ufundi)
43. Joel Bendera (Habari, Utamaduni na Michezo)
44. Daniel Nzanzugwanko (Habari, Utamaduni na Michezo)
45. Dk. David Mathayo (Kilimo, Chakula na Ushirika).
46. Celina Kombani (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa)
47. Mustafa Mkulo (Fedha)
48. Christopher Chiza (Kilimo, Chakula na Ushirika)
49. Lawrence Masha (Mambo ya Ndani)
50. Gaudencia Kabaka (Elimu ya Juu, Sayansi na Teknolojia)
51. Jeremia Sumari (Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana)
52. Mohamed Aboud (Usalama wa Raia)
53. Dk. Charles Mlingwa (Maendeleo ya Mifugo)
54. Omar Yussuf Mzee (Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa)
55. Gaudence Kayombo (Mipango, Uchumi na Uwezeshaji)
56. William Ngeleja (Nishati na Madini).