Mtandao wa gazeti la Mwananchi umemnukuu Freeman mbowe akisema kuwa mkutano wa Baraza kuu la Chama umesogezwa mbele toka April 25 Hadi may 11 ili kupisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadan